maganjwa
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 2,800
- 2,339
- Thread starter
- #81
Ukienda huko kale waafrica ndo tulitisha sana tuliwatoa tongo tongo wazunguChina ni magiant kwa umri wake hata wazungu hawafikii, amefanya mambo makubwa huko kale,
Soma ancient egpyt utajua mwafrica alichofanya tena leo moja ya kazi zetu inaittwa maajabu ya dunian.
Piramidi ya misri inayoitwa Giza piramidi. Sisi siyo watu wadogo huko nyuma.
Ushahidi mwingine Soma biblia isaya 18. Utaona sifa ya mwafrica biblia inasema taifa wakagao watu tangu mwanzo wao