Umaskini wa nchi yetu nani alaumiwe?

Viongozi wanatokea kwenye jamii isiyojielewa,exceptions wana
Viongozi ni policy makers ukielewa hiyo utajua ninachosema
Policy make unazaliwa nayo au inatokana na maandalizi yaliyopo?

Umpe elimu mbovu utegemee sera nzuri si ndio? Unaona inawezekana?

Ndio wenzenu walioendelea walipeleka watu wao wakapate kitu Kipya huko kwa walioendelea then wakrudi kuja kujenga na ku instill altitude nzuri za maendeleo.
 
Shida inaanzia juu.
Alivyo wajuu wachini huakisi mienendo yake.
Ukishikilia na kuwa mfuasi wa "UHABA"
Utaiba hutotosheka utakachokuwa unaona akilini mwako ni vinaniishia.
Wezi Kuanzia juu Hadi chini hapa ni kuviziana TU.
Kingi kinaishia kwa wachache
 
Tumelaaniwa 🤔🤔
Mustakabali wa maisha yetu tumekabidhi kwa watu wachache wachache (wanasiasa) na tumemwacha MUNGU.
Wao ndo waamue kesho yetu (tule Nini,tuvae Nini, tuishije).

Ndo Mana wamejaa viburi, fitna, chuki, husda unafiki na dharau na uantachable istoshe hawana majibu ya maisha yetu.

Na MUNGU analijua Hilo ndo Mana ametuacha..
(Yer 17:5-7)
 
Inalinganishwa gharama na mfumo wa malezi ya mwafrika na mzungu ama mchina?

Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
 
Sina jibu la moja kwa moja. Lakini chukua mtu mmoja kila bara waweke msituni kila mtu sehemu yake wasiwe na mawasiliano wala msaada wowote kutoka nje waanze maisha bila msaada.

Wape miaka miwili rudi uone kipi kimetokea.

Utapata jibu kwanini kuna masikini na wasio masikini.
 
Wananchi kwakuwa wavivu na baadhi yao hawajitumi .
Nchi inapanda kwa uchumi mzuri ambao unatokana na biashara za wananchi .
Ila tozo pia inakwamishaga maendeleo ya nchi kama inakuwa kubwa kwahiyo .
1.tozo
2. Uvivu
 
Logic ipo hapa..... tatizo kubwa la africa ni namna ya ku_control family planing.
Huna zaa watoto then wanakosa msingi na ndo matokeo ya umasikini...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyerer

Logic ipo hapa..... tatizo kubwa la africa ni namna ya ku_control family planing.
Huna zaa watoto then wanakosa msingi na ndo matokeo ya umasikini...

Sent using Jamii Forums mobile app
Wew umekaririshwa na wazungu kuwa watoto wengi kuzaa Sana ni umaskini.

Ebu niambie nguzo ya maendeleo yaani nchi yeyote ili iendelee unatakiwa kuwa na nini? China watu wangapi duniani? India in watu watu wangapi?

Fikiri vzr usikaririshwe matango pori na wazungu.

Je unajua idadi ya watu kwa square kilometer ulaya Asia na America linganisha na kwetu.

Kuna kitu hakijakaa vzr lazima tufikiri shida yetu tunasaidiwa kufikiri. Kuna majitu yako ulaya yanafikiri kuwa niaba yetu alafu tunakuja kuwajaza watu wetu ujinga.

Kama huu was idadi ya watu eti nitatizo.

Watu ni mali tunataka a tuwatumie watu nchi kujiletea maendeleo.

Viongozi wanatakiwa kubadili fikra na kufanya watu kuwa mali Kwa kufanya vijana kufanya kazi ili kubadili hali ya maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…