Umati wajitokeza kutia nia kwenye Ubunge na Udiwani kupitia CHADEMA, nafasi zimejaa kabisa

Umati wajitokeza kutia nia kwenye Ubunge na Udiwani kupitia CHADEMA, nafasi zimejaa kabisa

Erythrocyte,
Nyie wanasiasa wa kibongo badala ya kujikita kwenye hii pandemic mnaongelea michakato ya siasa wakati kuna uwezakano wengi wetu tusifike hiyo Oktoba. Ushauri wangu kwenu tumieni ushawishi wenu kuwashauri watu kuchukulia umuhimu huu ugonjwa.
 
Hili ndiyo kosa mnalofanya muda wote.
Mnadhani ni muda muafaka WA taarifa hii? Labda iwe propanda ya kuappeal to a good results
 
Mimi nilikuwa huko majuzi tu sasa nani anayeota mimi wewe??
Nilikuwa Singida juzi
No hate No fear
Uchaguzi bado mkuu! Nyalandu hana ubavu wa kushindana na chama dume hata yeye anajua ila kuleni pesa zake tu. Kama alishindwa Lowassa aliyekuwa na mtandao mkubwa nchini kila idara na chamani atakuwa huyu Nyalandu?
 
Tourism industry imecollapse na viwanda vinavyotegemea ku export vinaelekea huko huko
Watalii wengie wametumia savings kujilisha wakati kutotoka ndani ili kurudi itatuchukua miaka 4-5
 
Niambie viwanda au biashara ngapi vimeathiriwa na hii so called pandemic?

Mbona mnapenda kukuza mambo? Maana huko USA kwenye cases nyingi sijasikia wakitangaza stimulus package. Nahisi utakuwa mpigaji unatafuta pesa za bure kwa kisingizio cha Corona, kumbuka JK alitoa stimulus package kipindi chake, zilinufaisha mini?
Eti USA hakuna packages??? Tatizo la kutegemea TBC daima.
 
Watalii wengie wametumia savings kujilisha wakati kutotoka ndani ili kurudi itatuchukua miaka 4-5
Mahoteli yanahali mbaya sana maelfu ya wafanyakazi wako mbioni kupoteza vibarua vyao kodi na tozo mbalimbali zinatakiwa zisimamishwe mara moja ili kuwapunguzia mzigo sio kwenda kujichimbia Chato hali ni mbaya

Huenda hali ikawa mbaya kuliko wakati wa Vita vya Kagera
 
Kwa aina ya siasa za Tanzania za sasa Umati huu wa watia nia wa Chadema una maana gani?
Unaweza kuwa na maana nyingi tu.

Kwa sasa sitaki kukukatisha tamaa, lakini nakukaribisha wakati ukifika kuwachuja, unaweza kurudi hapa na kuomba msaada wa mapendekezo ya vigezo vinavyostahiri kutumika kuchambua magugu na mbegu safi.
 
Ushauri wako umepokelewa
 
Uchaguzi bado mkuu! Nyalandu hana ubavu wa kushindana na chama dume hata yeye anajua ila kuleni pesa zake tu. Kama alishindwa Lowassa aliyekuwa na mtandao mkubwa nchini kila idara na chamani atakuwa huyu Nyalandu?
Nani alikudanganya kwamba Lowassa alishindwa ? angalia picha hizi halafu muulize mama yako maana ya picha hizi ni nini .

2332550_matokeo_uchaguzi_3.jpg
 
Back
Top Bottom