Umati wajitokeza kutia nia kwenye Ubunge na Udiwani kupitia CHADEMA, nafasi zimejaa kabisa

Kwani umesikia kuna mfanyakazi kakosa mshahara? Au posho ya mwenyekiti na lissu awajapokea kule bungeni?
Mwambieni jiwe arudishe zile tri. 2.4 alizoficha Rwanda na Uganda zitmike kwenye stimulus package ya biashara zilizoathirika,

Jiwe anajua nchi haina mzigo ndo Anajidai eti sifungi mipaka na sitaki total lockdown,

Hili janga LA corona hakika natabiri litamng'oa kiulaini kwenye mawe yake
 
Tatizo ni kwamba mnapenda kuanika mambo mapema mapema matokeo yake mwisho wa siku mnaingiziwa mamluki. Kwa taarifa kama hizi zinawaumiza vichwa kwa upande ule wa pili, nao hawatoweza kulala bila kupanga mikakati ya kuharibu.
Mchezo umekwisha mkuu , michakato kama hii haifichwi , kumbuka kwamba Katibu Mkuu ni John Mnyika
 
Niambie viwanda au biashara ngapi vimeathiriwa na hii so called pandemic?

Mbona mnapenda kukuza mambo? Maana huko USA kwenye cases nyingi sijasikia wakitangaza stimulus package. Nahisi utakuwa mpigaji unatafuta pesa za bure kwa kisingizio cha Corona, kumbuka JK alitoa stimulus package kipindi chake, zilinufaisha mini?
Think tank za L7 hata hazijui kama kuna mahoteli makubwa tu tayari yamefungwa? Yaani, bado mko usingizini hata hamjui kama kuna biashara zimefungwa kwa sbb ya corona?
 
Niambie viwanda au biashara ngapi vimeathiriwa na hii so called pandemic?

Mbona mnapenda kukuza mambo? Maana huko USA kwenye cases nyingi sijasikia wakitangaza stimulus package. Nahisi utakuwa mpigaji unatafuta pesa za bure kwa kisingizio cha Corona, kumbuka JK alitoa stimulus package kipindi chake, zilinufaisha mini?
Wewe unaishi ulimwengu gani? US government imetoa $2 trillion kupambana na madhara ya corona. Na kati hiyo pesa zaidi ya $1.5 trillion ni kwaajili ya kuyasaidia makampuni yaweze kusimama baada ya kuathiriwa na madhara ya covid 19.
 
Shukrani kwa taarifa mkuu.

Tutafanya ikibidi
 
Nyie wanasiasa wa kibongo badala ya kujikita kwenye hii pandemic mnaongelea michakato ya siasa wakati kuna uwezakano wengi wetu tusifike hiyo Oktoba. Ushauri wangu kwenu tumieni ushawishi wenu kuwashauri watu kuchukulia umuhimu huu ugonjwa.
Magonjwa yapo tu maisha hayawezi simama lzm yaendelee.
 
Si hawa wanaodanganyana kwamba watia nia wakiwa wengi ndio ushindi wao. Kutia NIA kwa staili ya CDM ni sawa na pledges za Dr Shika
🤣🤣

Kabisa wanaleta style ya Dr Shika mkuu.
 
Niambie viwanda au biashara ngapi vimeathiriwa na hii so called pandemic?

Mbona mnapenda kukuza mambo? Maana huko USA kwenye cases nyingi sijasikia wakitangaza stimulus package. Nahisi utakuwa mpigaji unatafuta pesa za bure kwa kisingizio cha Corona, kumbuka JK alitoa stimulus package kipindi chake, zilinufaisha mini?

Usiwe mjinga kwa mambo usiyoyajua.
 
Back
Top Bottom