Mwambieni jiwe arudishe zile tri. 2.4 alizoficha Rwanda na Uganda zitmike kwenye stimulus package ya biashara zilizoathirika,Kwani umesikia kuna mfanyakazi kakosa mshahara? Au posho ya mwenyekiti na lissu awajapokea kule bungeni?
Hata Polepole haamini kama wewe !Je ni kweli hili linawezekana?
Mchezo umekwisha mkuu , michakato kama hii haifichwi , kumbuka kwamba Katibu Mkuu ni John MnyikaTatizo ni kwamba mnapenda kuanika mambo mapema mapema matokeo yake mwisho wa siku mnaingiziwa mamluki. Kwa taarifa kama hizi zinawaumiza vichwa kwa upande ule wa pili, nao hawatoweza kulala bila kupanga mikakati ya kuharibu.
Weka ushahidi hapa
Think tank za L7 hata hazijui kama kuna mahoteli makubwa tu tayari yamefungwa? Yaani, bado mko usingizini hata hamjui kama kuna biashara zimefungwa kwa sbb ya corona?Niambie viwanda au biashara ngapi vimeathiriwa na hii so called pandemic?
Mbona mnapenda kukuza mambo? Maana huko USA kwenye cases nyingi sijasikia wakitangaza stimulus package. Nahisi utakuwa mpigaji unatafuta pesa za bure kwa kisingizio cha Corona, kumbuka JK alitoa stimulus package kipindi chake, zilinufaisha mini?
Umeshawahi ona abiria wameisha kituoni.Au siti ya daladala ikakosa abiria.Akitoka mtu anakaa mtuTechnical KO kwa Jiwe alizani tumeisha kumbe Tupo vizuri zaidi ya jana
Hapo ndipo umetumia nguvu zote kuufanya manunuzi halafu tija zero.Watu wamevuta pesa wametumia fursa upinzani uko imaraLazaro Nyalandu anafanya kazi nzuri sana, juzi nilikuwa Kindai karibia mkoa wote wa Singida ni Chadema tu, muda huu ninaoandika... No hate No fear
View attachment 1415752
Hilo halipoMsikosee tu mkabeba tena zile taka ngumu toka ccm za dakika ya majeruhi. Hiyo ni hatua namba moja, lakini hatua kubwa kabisa ni kudai tume huru ya uchaguzi, maana bila hiyo ni kupoteza muda na fedha.
Wewe unaishi ulimwengu gani? US government imetoa $2 trillion kupambana na madhara ya corona. Na kati hiyo pesa zaidi ya $1.5 trillion ni kwaajili ya kuyasaidia makampuni yaweze kusimama baada ya kuathiriwa na madhara ya covid 19.Niambie viwanda au biashara ngapi vimeathiriwa na hii so called pandemic?
Mbona mnapenda kukuza mambo? Maana huko USA kwenye cases nyingi sijasikia wakitangaza stimulus package. Nahisi utakuwa mpigaji unatafuta pesa za bure kwa kisingizio cha Corona, kumbuka JK alitoa stimulus package kipindi chake, zilinufaisha mini?
Shukrani kwa taarifa mkuu.Wewe unaishi ulimwengu gani? US government imetoa $2 trillion kupambana na madhara ya corona. Na kati hiyo pesa zaidi ya $1.5 trillion ni kwaajili ya kuyasaidia makampuni yaweze kusimama baada ya kuathiriwa na madhara ya covid 19.
Magonjwa yapo tu maisha hayawezi simama lzm yaendelee.Nyie wanasiasa wa kibongo badala ya kujikita kwenye hii pandemic mnaongelea michakato ya siasa wakati kuna uwezakano wengi wetu tusifike hiyo Oktoba. Ushauri wangu kwenu tumieni ushawishi wenu kuwashauri watu kuchukulia umuhimu huu ugonjwa.
Sawa usihangaishe watu wakati uhai wako unachukuliwa na Covid 19.Magonjwa yapo tu maisha hayawezi simama lzm yaendelee.
🤣🤣Si hawa wanaodanganyana kwamba watia nia wakiwa wengi ndio ushindi wao. Kutia NIA kwa staili ya CDM ni sawa na pledges za Dr Shika
Kwann unaogopa kifo ambacho hata usipokiogopa kipo tu.Taadhari tunachukua na maisha hayasimami pia.Sawa usihangaishe watu wakati uhai wako unachukuliwa na Covid 19.
ongea kwa sauti ndogo mkuuCcm singida wanalia na lazaro nyarandu kaizika kabisa ccm hapo singida
Niambie viwanda au biashara ngapi vimeathiriwa na hii so called pandemic?
Mbona mnapenda kukuza mambo? Maana huko USA kwenye cases nyingi sijasikia wakitangaza stimulus package. Nahisi utakuwa mpigaji unatafuta pesa za bure kwa kisingizio cha Corona, kumbuka JK alitoa stimulus package kipindi chake, zilinufaisha mini?
Unaweza kututajia hapa aliowatoa kafara kwenye chaguzi zilizopita ?Yeye mwenyewe. Hivi mtoto wake anaumwa kweli au ni maandalizi ya 'kumtoa kafara' kwenye uchaguzi? Nasikia hajambo kwenye haya mambo!