Kitwa-Mulomoni
JF-Expert Member
- Oct 25, 2016
- 1,779
- 1,119
CHADEMA kumbuka hili la kudai tume huru maana mkidai tume huru kwa mtazamo wenu, mtashinda uchaguzi na kuchukua nchi - mkidai tume huru. Hata malengo yenu yasipo tekelezwa. Kitendo cha kudai tu, kinawahakikishia ushindi!Msikosee tu mkabeba tena zile taka ngumu toka ccm za dakika ya majeruhi. Hiyo ni hatua namba moja, lakini hatua kubwa kabisa ni kudai tume huru ya uchaguzi, maana bila hiyo ni kupoteza muda na fedha.
CHADEMA kumbuka hili la kudai tume huru maana mkidai tume huru kwa mtazamo wenu, mtashinda uchaguzi na kuchukua nchi - mkidai tume huru. Hata malengo yenu yasipo tekelezwa. Kitendo cha kudai tu, kinawahakikishia ushindi!
Ndio maana kila mara mnakumbushwa kudai tume huru. Msijali kama ni huru au la - au hamjui ipi huru! Lakini nyie dai tu. Mtashinda nafasi zote mtakazo gombea! "dai tu".
Nilizani 2020 ndio mwisho wa upinzani, kimbe bado mpo!!! Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. Hahaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani unaweza kushinda uchaguzi bila kutia njia?.Kutia nia ndiyo kushinda uchaguzi?
Nilizani 2020 ndio mwisho wa upinzani, kimbe bado mpo!!! Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. Hahaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutia njia?!
Eti tume uhuru halafu chadema watachukua nchi, simple simple tu.CHADEMA kumbuka hili la kudai tume huru maana mkidai tume huru kwa mtazamo wenu, mtashinda uchaguzi na kuchukua nchi - mkidai tume huru. Hata malengo yenu yasipo tekelezwa. Kitendo cha kudai tu, kinawahakikishia ushindi!
Ndio maana kila mara mnakumbushwa kudai tume huru. Msijali kama ni huru au la - au hamjui ipi huru! Lakini nyie dai tu. Mtashinda nafasi zote mtakazo gombea! "dai tu".
Umeshauriwa ufiche ujinga wako mbona unazidi kuusambazaEti tume uhuru halafu chadema watachukua nchi, simple simple tu.
Chadema wapo jf tu tena wachache,na hao wachache sio wapiga kura ni waongeaji tu hamna vitendo.
Sileti upotoshaji, ninacho maanisha hapa ni mkakati gani CHADEMA mmeuweka ili tume huru ipatikane!? Au ni maneno tu ya "tudai tume huru" mara abda kadabla tume huru hii hapa!Cdm haidai tume huru ili ishinde uchaguzi, bali inadai tume huru ili mshindi halali ndio atangazwe. Usitake kuleta upotoshaji wa kijinga.
Kama gari mkweche na limechakaa nani atalipanda? Tuna akili zetu tunapanda gari za uhakika.Umeshawahi ona abiria wameisha kituoni.Au siti ya daladala ikakosa abiria.Akitoka mtu anakaa mtu
Sileti upotoshaji, ninacho maanisha hapa ni mkakati gani CHADEMA mmeuweka ili tume huru ipatikane!? Au ni maneno tu ya "tudai tume huru" mara abda kadabla tume huru hii hapa!
Kama hamna mkakati wowote tume huru itapatikana je? Au ni just wishes!
TUME HURU YA UCHAGUZI kwanza siyo tupoteze muda wetu kupiga kuraHii ni Taarifa kutoka kwa John Mrema ambaye ni mkurugenzi wa Itifaki wa Chadema, Ikumbukwe kwamba Chadema iliweka utaratibu kwa wanachama wake wote wanaotaka kugombea nafasi hizi kujitokeza mapema kutia nia kwenye chama chao ili usaili ( Vetting ) juu yao uanze mapema, lengo likiwa ni kutoa nafasi kwa viongozi kuwafahamu kiundani Wagombea hawa kabla ya kuwapa nafasi za kugombea.
Nafasi zote za ubunge na udiwani kwenye majimbo na kata zote nchi nzima, hakuna mtia nia ambaye yuko peke yake, yako majimbo ambayo kuna watia nia ya ubunge kuanzia watatu hadi watano!
Kwa aina ya siasa za Tanzania za sasa Umati huu wa watia nia wa Chadema una maana gani?
# TUENDELEE KUNAWA MIKONO ILI KUJIKINGA NA VIRUSI VYA CORONA .
Hapo siwezi kuwasaidia maana tume hii iliyo tangaza mbunge wa Hai, Arusha mjini, Bulaya, Heche, Rwakatare n. k 2015 ni huru na ndiyo itatumika uchaguzi ujao.Ni just wishes, kwani ww ushauri wako ni upi boss? Hebu tupe nini kifanyike ili hiyo tume ipatikane.
Well saidMsikosee tu mkabeba tena zile taka ngumu toka ccm za dakika ya majeruhi. Hiyo ni hatua namba moja, lakini hatua kubwa kabisa ni kudai tume huru ya uchaguzi, maana bila hiyo ni kupoteza muda na fedha.
Hapo siwezi kuwasaidia maana tume hii iliyo tangaza mbunge wa Hai, Arusha mjini, Bulaya, Heche, Rwakatare n. k 2015 ni huru na ndiyo itatumika uchaguzi ujao.
Kama siyo huru mgombea wa CCM kiti cha urais asinge shinda kwa kura kidogo vile!
Faraja wakati wa majanga, sio mbaya.ongea kwa sauti ndogo mkuu
tindo mambo yako wazi kabisa hayahitaji ubabe au hasira.Nilidhani una jipya, kumbe unaanika nguo kavu.
Hiyo inaitwa force king. Yaani unalazimisha kuingia king kwenye draft wakati umeliwa zote.Hii ni Taarifa kutoka kwa John Mrema ambaye ni mkurugenzi wa Itifaki wa Chadema, Ikumbukwe kwamba Chadema iliweka utaratibu kwa wanachama wake wote wanaotaka kugombea nafasi hizi kujitokeza mapema kutia nia kwenye chama chao ili usaili ( Vetting ) juu yao uanze mapema, lengo likiwa ni kutoa nafasi kwa viongozi kuwafahamu kiundani Wagombea hawa kabla ya kuwapa nafasi za kugombea.
Nafasi zote za ubunge na udiwani kwenye majimbo na kata zote nchi nzima, hakuna mtia nia ambaye yuko peke yake, yako majimbo ambayo kuna watia nia ya ubunge kuanzia watatu hadi watano!
Kwa aina ya siasa za Tanzania za sasa Umati huu wa watia nia wa Chadema una maana gani?
# TUENDELEE KUNAWA MIKONO ILI KUJIKINGA NA VIRUSI VYA CORONA .