Umati wajitokeza kutia nia kwenye Ubunge na Udiwani kupitia CHADEMA, nafasi zimejaa kabisa

Msikosee tu mkabeba tena zile taka ngumu toka ccm za dakika ya majeruhi. Hiyo ni hatua namba moja, lakini hatua kubwa kabisa ni kudai tume huru ya uchaguzi, maana bila hiyo ni kupoteza muda na fedha.
CHADEMA kumbuka hili la kudai tume huru maana mkidai tume huru kwa mtazamo wenu, mtashinda uchaguzi na kuchukua nchi - mkidai tume huru. Hata malengo yenu yasipo tekelezwa. Kitendo cha kudai tu, kinawahakikishia ushindi!
Ndio maana kila mara mnakumbushwa kudai tume huru. Msijali kama ni huru au la - au hamjui ipi huru! Lakini nyie dai tu. Mtashinda nafasi zote mtakazo gombea! "dai tu".
 
Cdm haidai tume huru ili ishinde uchaguzi, bali inadai tume huru ili mshindi halali ndio atangazwe. Usitake kuleta upotoshaji wa kijinga.
 
Nilizani 2020 ndio mwisho wa upinzani, kimbe bado mpo!!! Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. Hahaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
FB_IMG_1574277425198.jpg
 
CHADEMA kumbuka hili la kudai tume huru maana mkidai tume huru kwa mtazamo wenu, mtashinda uchaguzi na kuchukua nchi - mkidai tume huru. Hata malengo yenu yasipo tekelezwa. Kitendo cha kudai tu, kinawahakikishia ushindi!
Ndio maana kila mara mnakumbushwa kudai tume huru. Msijali kama ni huru au la - au hamjui ipi huru! Lakini nyie dai tu. Mtashinda nafasi zote mtakazo gombea! "dai tu".
Eti tume uhuru halafu chadema watachukua nchi, simple simple tu.

Chadema wapo jf tu tena wachache,na hao wachache sio wapiga kura ni waongeaji tu hamna vitendo.
 
Umeshauriwa ufiche ujinga wako mbona unazidi kuusambaza

Kweni Chadema sio Watanzania hawana haki ya kuiendesha Nchi yao
 
Cdm haidai tume huru ili ishinde uchaguzi, bali inadai tume huru ili mshindi halali ndio atangazwe. Usitake kuleta upotoshaji wa kijinga.
Sileti upotoshaji, ninacho maanisha hapa ni mkakati gani CHADEMA mmeuweka ili tume huru ipatikane!? Au ni maneno tu ya "tudai tume huru" mara abda kadabla tume huru hii hapa!
Kama hamna mkakati wowote tume huru itapatikana je? Au ni just wishes!
 
Ni just wishes, kwani ww ushauri wako ni upi boss? Hebu tupe nini kifanyike ili hiyo tume ipatikane.
 
Hii ni Taarifa kutoka kwa John Mrema ambaye ni mkurugenzi wa Itifaki wa Chadema, Ikumbukwe kwamba Chadema iliweka utaratibu kwa wanachama wake wote wanaotaka kugombea nafasi hizi kujitokeza mapema kutia nia kwenye chama chao ili usaili ( Vetting ) juu yao uanze mapema, lengo likiwa ni kutoa nafasi kwa viongozi kuwafahamu kiundani Wagombea hawa kabla ya kuwapa nafasi za kugombea.

Nafasi zote za ubunge na udiwani kwenye majimbo na kata zote nchi nzima, hakuna mtia nia ambaye yuko peke yake, yako majimbo ambayo kuna watia nia ya ubunge kuanzia watatu hadi watano!

Kwa aina ya siasa za Tanzania za sasa Umati huu wa watia nia wa Chadema una maana gani?

# TUENDELEE KUNAWA MIKONO ILI KUJIKINGA NA VIRUSI VYA CORONA .
TUME HURU YA UCHAGUZI kwanza siyo tupoteze muda wetu kupiga kura
 
Ni just wishes, kwani ww ushauri wako ni upi boss? Hebu tupe nini kifanyike ili hiyo tume ipatikane.
Hapo siwezi kuwasaidia maana tume hii iliyo tangaza mbunge wa Hai, Arusha mjini, Bulaya, Heche, Rwakatare n. k 2015 ni huru na ndiyo itatumika uchaguzi ujao.
Kama siyo huru mgombea wa CCM kiti cha urais asinge shinda kwa kura kidogo vile!
 
Nilidhani una jipya, kumbe unaanika nguo kavu.
 
Hii ni Taarifa kutoka kwa John Mrema ambaye ni mkurugenzi wa Itifaki wa Chadema, Ikumbukwe kwamba Chadema iliweka utaratibu kwa wanachama wake wote wanaotaka kugombea nafasi hizi kujitokeza mapema kutia nia kwenye chama chao ili usaili ( Vetting ) juu yao uanze mapema, lengo likiwa ni kutoa nafasi kwa viongozi kuwafahamu kiundani Wagombea hawa kabla ya kuwapa nafasi za kugombea.

Nafasi zote za ubunge na udiwani kwenye majimbo na kata zote nchi nzima, hakuna mtia nia ambaye yuko peke yake, yako majimbo ambayo kuna watia nia ya ubunge kuanzia watatu hadi watano!

Kwa aina ya siasa za Tanzania za sasa Umati huu wa watia nia wa Chadema una maana gani?

# TUENDELEE KUNAWA MIKONO ILI KUJIKINGA NA VIRUSI VYA CORONA .
Hiyo inaitwa force king. Yaani unalazimisha kuingia king kwenye draft wakati umeliwa zote.
 
Back
Top Bottom