Kitwa-Mulomoni
JF-Expert Member
- Oct 25, 2016
- 1,779
- 1,119
CHADEMA kumbuka hili la kudai tume huru maana mkidai tume huru kwa mtazamo wenu, mtashinda uchaguzi na kuchukua nchi - mkidai tume huru. Hata malengo yenu yasipo tekelezwa. Kitendo cha kudai tu, kinawahakikishia ushindi!Msikosee tu mkabeba tena zile taka ngumu toka ccm za dakika ya majeruhi. Hiyo ni hatua namba moja, lakini hatua kubwa kabisa ni kudai tume huru ya uchaguzi, maana bila hiyo ni kupoteza muda na fedha.
Ndio maana kila mara mnakumbushwa kudai tume huru. Msijali kama ni huru au la - au hamjui ipi huru! Lakini nyie dai tu. Mtashinda nafasi zote mtakazo gombea! "dai tu".