KATASAN'KAZA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 3,097
- 1,356
tatizo tunaambiwa kwa miaka 40 wanatangatanga hawajakutana na jamii zingine,baada ya miaka 40 na moses kufa ndo wanaanza kukutana na jamii zingine na kufanya nao vita.
bana we,ntakuhubirije kwa bible?afterall mimi naquote bible mtu akija na maandiko,umeshaona nimeanzisha uzi wa mambo ya dini?,mimi always narespond.
Haya soma history ya waisrael wa mwanzo hapa kwenye link.
History inasema kumbe hata falme za israel na juder kuna wakati zimewekwa na wa asyria as a client state na si na maandiko.haya mambo ya agano la kale ni history iliyoongezwa vionjo na mambo ya imani na pia mambo yasiyowahi kutokea.
okay,nadhani ni kweli kuwa mwanzoni musa ndo kaanzisha mapigano na soon after akaambiwa apande kilima aione nchi ya ahadi,kisha akafa.hapa swali ni kuwa miaka 40 imetimia baada ya musa kufa na joshua kukamata madaraka ama imekuja kuisha daud alipoiteka jerusalem na kuifanya mji mkuu.Kasome vizuri iliwachukua muda yapata miaka arobain rejea great treak is a good reference! Kumbuka wakati wanapigana vita huku Musa ameinua mikono juu akishusha kipigo. Unasemea hiyo wamepelekwa uhamishoni kwa miaka 70 mpaka walipokuja kuunganishwa na mfalme Ezekiel.
ha ha ,naona kumbe nimekukamata hasa...okay bible ni somo ambalo nimefundishwa darasani na kulifanyia National exam,apart from that nimesoma shule ya kikristo ambako kuhudhuria church ilikua lazima si ombi,so i know.You are not mwanazuoni as you said and you distance yourself from quoting Qu'ran? So why quote Bible for that reason? Are you Bible expert?
Wewe ni mchonganishi and you know that. There are tons of things that depend on faith and you think copy and paste will make you a hero?. The Exodus itself is full of miracles and only those who have faith will understand and agree same goes to all other religious claims. You want the evidence of how did Red sea split 3300 years ago?
okay,nadhani ni kweli kuwa mwanzoni musa ndo kaanzisha mapigano na soon after akaambiwa apande kilima aione nchi ya ahadi,kisha akafa.hapa swali ni kuwa miaka 40 imetimia baada ya musa kufa na joshua kukamata madaraka ama imekuja kuisha daud alipoiteka jerusalem na kuifanya mji mkuu.
Huyu mungu ulomuelezea hapa anaonekana ni mkatili sana
we jamaa bana,sasa copy na paste ina matatizo gani?.si ndo inarahisisha badala ya kuwasilisha kwa kutype you just copy and paste ya article unayotaka kuiwasilisha,after reading and understanding it ofcource,so what is the problem there?.au unataka vidole viote sugu kwa kutype?You are not mwanazuoni as you said and you distance yourself from quoting Qu'ran? So why quote Bible for that reason? Are you Bible expert?
Wewe ni mchonganishi and you know that. There are tons of things that depend on faith and you think copy and paste will make you a hero?. The Exodus itself is full of miracles and only those who have faith will understand and agree same goes to all other religious claims. You want the evidence of how did Red sea split 3300 years ago?
ha ha ,naona kumbe nimekukamata hasa...okay bible ni somo ambalo nimefundishwa darasani na kulifanyia National exam,apart from that nimesoma shule ya kikristo ambako kuhudhuria church ilikua lazima si ombi,so i know.
You are not mwanazuoni as you said and you distance yourself from quoting Qu'ran? So why quote Bible for that reason? Are you Bible expert?
Wewe ni mchonganishi and you know that. There are tons of things that depend on faith and you think copy and paste will make you a hero?. The Exodus itself is full of miracles and only those who have faith will understand and agree same goes to all other religious claims. You want the evidence of how did Red sea split 3300 years ago?
okay,nadhani ni kweli kuwa mwanzoni musa ndo kaanzisha mapigano na soon after akaambiwa apande kilima aione nchi ya ahadi,kisha akafa.hapa swali ni kuwa miaka 40 imetimia baada ya musa kufa na joshua kukamata madaraka ama imekuja kuisha daud alipoiteka jerusalem na kuifanya mji mkuu.
wewe ni christian extremist,unadhani hapa ni kanisani kuwa hutakiwi kuongea kinyume na unachoamini?.elewa hapa tunadeal with open and clear mind wala hatubanwi eti nikihoji hivi ntafanya dhambi.Huwezi kuamini vitu nusu nusu. If there was no Exodus and Musa didnt exist as well ni fictional figure au umesahau huyu Musa ndio kiongozi wa safari hiyo? Hujiamini katika arguments zako? Umesema dakika 30 tu kutoka Eqypt na kufika Canaan sasa unayumba yumba nini! Wewe ni mpotoshaji. Simamia unachosema. Say it with you chest!!
we jamaa bana,sasa copy na paste ina matatizo gani?.si ndo inarahisisha badala ya kuwasilisha kwa kutype you just copy and paste ya article unayotaka kuiwasilisha,after reading and understanding it ofcource,so what is the problem there?.au unataka vidole viote sugu kwa kutype?
msimamo wangu kuwa ni nusu saa kutoka misri kwenda israel uko palepale kwa kigezo kuwa zinapakana.Huwezi kuamini vitu nusu nusu. If there was no Exodus and Musa didnt exist as well ni fictional figure au umesahau huyu Musa ndio kiongozi wa safari hiyo? Hujiamini katika arguments zako? Umesema dakika 30 tu kutoka Eqypt na kufika Canaan sasa unayumba yumba nini! Wewe ni mpotoshaji. Simamia unachosema. Say it with you chest!!
christian achaelogist wameshachimba kote na ndo wanasema,THERE IS NO EVIDENCE.Unaogopa sugu kwa kutype lakini unataka Christian archaeologists waende jangwani wakae miaka wakitafuta na kuchimba mchanga udongo na miamba kutafuta mabaki ya evidence ya safari ya miaka elfu tatu iliyopita kwa sababu Bible unayoiquote kila mara huiamini? We have a serious problem here.
wewe ni christian extremist,unadhani hapa ni kanisani kuwa hutakiwi kuongea kinyume na unachoamini?.elewa hapa tunadeal with open and clear mind wala hatubanwi eti nikihoji hivi ntafanya dhambi.
christian achaelogist wameshachimba kote na ndo wanasema,THERE IS NO EVIDENCE.
Tunasoma katika bibilia kuwa wana wa israel walichukua muda wa miaka 40 kufika nchi ya ahadi wakitokea utumwani misri. Hapa najiuliza sana. Miaka 40 kutoka hapo kairo kwenda yerusalemu? Mbona ni miaka mingi sana? Au walikuwa hawajui njia? Mimi napata mashaka, miaka waliyokuwa wanahesabu cyo hii tunayohesabu sisi.
Hivi kuna umbali gani kutoka misri (cairo) kwenda israel (yerusalemu)?