Umbali kati ya Misri na Israel ni KM 613, lakini wana wa Israel walisafiri kwa miaka 40

Umbali kati ya Misri na Israel ni KM 613, lakini wana wa Israel walisafiri kwa miaka 40

Kwani nchi ya ahadi ni ipi? hiyo mnayoiita israel ni palestina waingereza wameimega mwaka 1948 na ndio wakaita israel, hiyo nchi ya ahadi hawaijui mpaka leo. kwani yusuf alipouzwa na ndugu zake na wao kwenda kuhemea walikuwa wanatokea wapi
 
Tiba Ahsante. Uniokoa sana kiongozi!.


Mkuu usipoteze muda kujibizana na Elungata. Huyo yuko upande ule ambao mkuu wao anadai aliteremshiwa kitabu chao kutoka mbinguni. Huyo ni against chochote kinachohusu ukristo. Ukitaka kuthibitisha, tafuta post zake uone.

Tiba
 
Kwa mwendo wa kawaida inakadiriwa kuwa waebrania (waisrael) wangetumia siku takribani 3 hadi 7 kufika kaanani.Jehova hakutaka waende moja kwa moja maana wangekutana na vita mapema na wangekata tamaa. Hivyo aliamua kuwapeleka uelekeo tofauti na njia ya moja kwa moja.

Aidha, Mungu, BWANA wa Majeshi alijua wakienda moja kwa moja jeshi la Farao lingewafuata na kuwasumbua. Aliamua kuwapeleka njia ya kaskazi mashariki ambako bahari ya Shamu iko. Hapo ndipo mpango wa Mungu,Bwana wa Majeshi wa kuonesha uokozi wake ulivyo mkuu.Wakati wa kulimaliza nguvu jeshi la Misri ulipopangiwa kufanyika. Jeshi la wa Misri likazamishwa baharini.

Waebrania wakazungushwa jangwani kwa miaka 40. (mataifa ya kando kando walipoona kundi kubwa la watu wakizunguka huku na huko jangwani,mataifa yale yakawaita waebrania "jew" yaani wahangaikao jangwani. Na hapa ndipo neno " jew" -jahudi au yahudi lilipoanza kutumika)

Mungu alikuwa na makusudi yake kutaka waebrania watumie miaka 40 jangwani. Aidha,ijulikane kwamba waebrania hawakuwa safarini siku zote.Wakati mwingine walipiga hema siku 7, siku 14, mwezi kisha wakasafiri, wakapiga hema zao tena halafu wakaanua hema kusafiri.

Mungu ana kawaida ya kufanya mambo yake kwa ukamilifu wa namba mahususi mfano katika maandiko namba zifuatazo zimetumika kwa ruwaza fulani maalum. 1,3,7, 9,10,14,21,40 na kadhalika. Matumizi ya namba katika maandiko yanabeba dhana fulani mahususi katika mahusiano ya Mungu-Jehova na kazi zake kwa watu aliowakusudia. Hebu kumbuka hata vita kati ya Israel na mataifa ya kiarabu mwaka 1967 na 1973 fuatilia vita hivyo vilipiganwa kwa muda gani, zingatia namba za muda huo.

Hivyo, umbali baina ya Israeli na Misri ni mdogo ila Jehova alikuwa na makusudi yake kwa nini iwachukue miaka 40 jangwani.
 
eti bahari ilitenganishwa,bahari ipi hapo wakati watu wanatembea hata kupitia tunnel kutoka misri kwenda gaza.halafu wanakimbia askari wa misri wakati wanadai walikuwa wamepewa uwezo wa kupigana na jehova,kwanini wasipambane na askari wa misri?

bila shaka wewe ni mfuasi wa imani ya mjukuu wa bi hajra.
 
Baada ya kusoma post za Elungata na wengine nimegundua mambo kama mawili.

1. Misri inayotajwa kwenye biblia siyo hii ya sasa. Sababu kama alivyoonyesha ushahidi mkuu Elungata kwenye wikipedia, kwamba hakuna ushahidi wa mabaki/mafuvu ya watu yaliyopatikana kwenye eneo linaloaminiwa kuwa wana waisrael walipita kuelekea nchi ya ahadi.

2. Kitabu cha kutoka hakipo kiimani zaidi, kipo kiuhalisia zaidi.
 
Last edited by a moderator:
nnavojua they were supposed to use 40 days walking ili wafike,but kutokana na uasi Mungu aliwazugusha jangwani for 40 years,jangwa la Nubia if am not mistaken.na geography yangu.
actual distance siijui but kwa maisha ya.leo nafkr unafika ndani ya siku 1
 
bila shaka wewe ni mfuasi wa imani ya mjukuu wa bi hajra.

Kama unamaanisha Waislamu umekosea bro.

Waislamu tunaamini muujiza huo wa kutenganishwa kwa bahari kwa ajili ya Musa na wafuasi wake wapite.
 
Misri ya Leo sio Misri ya enzi za Musa, pia haimaanishi kuwa walikuwa wakisafiri kwa miaka yote hiyo, Kuna process kuweza kuachiliwa kutoka mtumwa hadi kwa huru

haya ni mawazo yako au maandiko?
 
Baada ya kusoma post za Elungata na wengine nimegundua mambo kama mawili. 1. Misri inayotajwa kwenye biblia siyo hii ya sasa. Sababu kama alivyoonyesha ushahidi mkuu Elungata kwenye wikipedia, kwamba hakuna ushahidi wa mabaki/mafuvu ya watu yaliyopatikana kwenye eneo linaloaminiwa kuwa wana waisrael walipita kuelekea nchi ya ahadi. 2. Kitabu cha kutoka hakipo kiimani zaidi, kipo kiuhalisia zaidi.
wanasayansi wengine ni vichaa usiwaamini kirahisi sana, mabaki ya mafuvu ili yaweze survive kuna mazingira yake.Bila hivyo culcium ,sijui na phosporus yote inayeyuka ktk ardhi au maji au hata hewa.Km watagemea mafuvu kwa nini wasione ya waturuki,waruki,warumi kwanza.Pia wajui na uzikaji wa wayahudi kipindi kile km uliruhuru mwili kuhifadhiwa.km fisi walikuwa kila mzoga,sijui km fisi anaacha mifupa mingi kihivyo.wenyewe wanajua inahitaji mazingira special ili mfupa ubaki biaka mingi hivyo.otherwise tungekuwa na mifupa mingi sana duniani kwa vita zote hizi,watu walioliwa na wanyama mwituni kwa miaka mingi sana.Hadi sasa serengeti wanyama wanaliwa na kufa kila siku ila mifupo si mingi kihivyo.
 
Last edited by a moderator:
Tunasoma katika bibilia kuwa wana wa israel walichukua muda wa miaka 40 kufika nchi ya ahadi wakitokea utumwani misri. Hapa najiuliza sana. Miaka 40 kutoka hapo kairo kwenda yerusalemu? Mbona ni miaka mingi sana? Au walikuwa hawajui njia? Mimi napata mashaka, miaka waliyokuwa wanahesabu cyo hii tunayohesabu sisi. Hivi kuna umbali gani kutoka misri (cairo) kwenda israel (yerusalemu)?
Hao jamaa walitegema vitu vingi ili kufanikisha safari..walitegemea mapito hospitable,dira sahihi, ili wasipotee ktk jangwa.Abrahamu alifika hapo kwa kutambaa na mto akipata malisho ya wanyama,mifugo na kundi la wafanyakazi km jeshi vile.Angetoka nje ya mto angepotea na kulia jangwa km wajukuu zake.unaweza dhani TZ na Kenya zipo karibu sana ukingalia ktk hiyo misri na israeli civilization ilikaa wapi ktk maeneo ya hizo nchi.Na pia waliporudi walitegemea nini baada ya kukaa nje miaka mingi.Ni wazi kulikuwa na wakazi wapya.Baada ya mchwa huwa viumbe wengine huamia ktk vichuguu vyao.
 
nilisha sema exodus ni myth hamutaki kusikia hebu rejeab hapahttps://www.jamiiforums.com/dini-imani/733371-exodus-is-a-myth-3.html

Kwanini exodus ni myth (Kumbuka wamisri ni watunza kumbukumbuku wazuri sana)
1. hakuna ushahidi wowote kwa wamisri kuwa walishawahi kuwaruhusu wageni wengi kama 600,000 kuondoka.
2. wakiwa sinai inasemekana watu 3000 waliuwa kwa uvou lakin hakuna hata fuvu moja la ushahidi la binadamu wala mnyama.
3. mapigo kumi kama ilivyoandikwa kwenye bible haijawa documented mahali popote kwenye historia ya misri ajabu eeh tukio kubwa kama hilo.
4. ajabu jingine kuangamizwa na jeshi lote la misri baharini hili tukio halipo kwenye historia ya misri wala archeology haisapoti tukio hilo kumbuka uadui katai ya misri na nchi kama libya,assyrians,KUSHI enzi hizo kuangamizwa kwa jeshi lao kungeleta maafa sana kivita lakini hakikutokea kitu.
5. hakuna uhusiano wa culture kati ya wamisri na wa israel jambo la ajabu watu muishi kwa miaka 400 msifanane culture.
6. baadhi ya miji iliyotajwa kwenye exodus haikuwepo mingine ilikuwepo lakini ilkuwa na idadi chache sana ya watu na haikuwa na ngome kama ilivyoonyeshwa kwenye bible
7. inaonyesha farao aliyeongea na mussa pindi akiwa na 80 yrs ndo farao huyo huyo ambae binti yake alimuokota mussa. wa misri wanadai hakuna farao ambae aliishi muda mrefu kiasi icho only peppi alitawala kwa miaka 94 na hafiti hapo.
8. kanani ilikuwa inatawaliwa na misri kwa hiyo wa israel kuondoka misri kwenda kanani ni sawa na wamakonde kutoka dar es salaam kwenda mtwara kuanzisha nchi yao hapo ni kujitafutia vita na serikali ya tanzania hiyo hiyo wanayoikimbia dar.
9. rejea namba 8 wamisri wanadai kanani ilikuwa inakaliwa na wa israel toka zamani na wala hawakuhamia hapo toka sehemu nyingine.
10. inadaiwa wa israel walikuwa wanafanya kazi ya kufyatua tofali kweli wamisri wanadai hakuna project kubwa iliyokuwa inahitaji tofali nyingi kiasi cha kuhitaji labor supply kubwa kiasi hicho.
 
Back
Top Bottom