Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu mi mwenyewe sipendi ujinga, mita 42 kwa siku? uongo gani huu? sipendi ujinga kabisaHalafu mambo ya MUNGU kama haya usiyalete kwenye jukwaa la utani na usiyaelezee kiutaniutani.
Eti sipendi ujinga,ndiyo nini sasa?
umeelezea vizuri ila sio kwa uongo wa mita 42 kwa siku!!! unazijua mita 42? ubungo plaza na stendi ya mkoa mbali. sasa kweli jamani, hata kama hatutakiwi kuhoji mambo ya Mungu ila hii kweli jamani? si changa la macho kabisa hili? [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mtoa mada kabla hujauliza swali lako kuna vitu vingi unatakiwa ujiulize,
a) Idadi ya watu kwenye msafara.
Kwa vile walikuwa wengi, iliwabidi waende taratibu, mmoja wapo akipata tatizo ni lazima wamsubirie. Kundi lilikuwa kubwa ilibidi ifike sehemu watafute chakula.
b) Jiografia ya kati ya Misri na nchi ya ahadi, kuna jangwa,milima,mabonde,mito na bahari. Kutokana na hayo inabidi sehemu ya kutumia siku moja inabidi mutumie miezi kadhaa kuuzunguka mlima au kukwepa bonde. Kumbuka kizazaa walichokipata wakati wanavuka bahari ya shamu.
c) Umri tofauti katika kundi, kulikuwa na watoto wazee na vijana.
d) Aina ya usafiri waliokuwa wanautumia, fikiria unatembea kwenye jangwa itakuchukua muda gani kurudisha nguvu zilizopotea.
e) Muda wa ibada, kuna wakati Musa ilibidi aende mlimani(sehemu yenye utulivu) kusali na kuongea na Mungu, kumbuka Mungu hapangiwi muda,unaweza msubiri hata miezi 8 hajakujibu.
Mwisho kabisa ulikuwa ndio mpango wa Mungu watumie miaka 40 kufika nchi ya mito na maziwa. ATAKAYE VUMILIA MPAKA MWISHO HUYO NDIE ATAKAYEIONA NCHI MUNGU ALIYOWAAHIDI WATU WAKE
Haya kakojoe ukalale sasaahsante ahsante ahsantee
labda Musa na wana wa israel walikua wanashtua kijoti kila baada ya hatua mbili ndo mana walikua wanatembea mita 42 kwa siku!!! [emoji23] [emoji23] [emoji23]Musa ana kesi ya msingi ya kujibu hapa, na ikiwa atapatikana na hatia inabidi ashitakiwe kwa kosa la matumizi mabaya ya muda!
wewe naona ndo hueleweki hebu weka vizuri swali lakoSijamuelewa mleta mada,hesabu zake zinaonesha umbali kutoka misri mpaka israel lakini watu hao waliekea katika nchi yA AHADI,Je,Nchi ya ahadi haina umbali kutoka misri au israel?
Jifunze kunena na Bwana Mungu wako kwa busara na hekima.Usidanganye watu hapa kwa comedy katika imani,mambo haya hayahitaji comedy.
Na chakushangaza zaidi M 42 kwa siku ni sawa na umbali wa 1.75 M kwa saa mwendo ambao hata mtoto mdogo anayejifunza kutambaa anaweza kuu cover kwa dakika mbili nukta 33!labda Musa na wana wa israel walikua wanashtua kijoti kila baada ya hatua mbili ndo mana walikua wanatembea mita 42 kwa siku!!! [emoji23] [emoji23] [emoji23]
kubwa kuliko yote ni kwamba ukichukua 1.75m ÷ 60 minutes = 2.9 cm per minute.. hivi kweli mtu ndani ya dakika anakava umbali wa sentimita 2.9?? dah huu si uongo kabisa huu mkuu? [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na chakushangaza zaidi M 42 kwa siku ni sawa na umbali wa 1.75 M kwa saa mwendo ambao hata mtoto mdogo anayejifunza kutambaa anaweza kuu cover kwa dakika mbili nukta 33!
we unazani kupita katikati yabaharivni rahisi???[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji81] musa sio mtu wa mchezomchezo[emoji35] [emoji35] [emoji35]Umbali kutoka Misri kwenda Israel ni kilomita 623 tu. Lakini Musa na kundi lake (wana wa Israel) walitumia miaka 40 kutembea hadi kufika nchi ya ahadi. Huu ni wastani wa kilomita 15 kwa mwaka, sawa na kilomita 1.25 kwa mwezi. Hii ni sawa na mita 42 tu kwa siku, yani umbali nusu ya uwanja wa mpira.
Moderators , mnamba ya simu ya Musa umlete hapa ajieleze, huu uvivu waliutoa wapi.
Sipendagi ujinga
hivi baada ya bahari kutenganishwa, kile kina cha bahari nani alikijaza kifusi mpaka kufikia ground level? [emoji53] [emoji53]we unazani kupita katikati yabaharivni rahisi???[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji81] musa sio mtu wa mchezomchezo[emoji35] [emoji35] [emoji35]
Ni wakati sasa wa kuunda jopo litakaloongozwa na wewe,na watu wengine watano...mpande [HASHTAG]#pangaboi[/HASHTAG] si tumeambiwa zinatua mazingira magumu! Mpite route msafara wa wana Israel walipita ili kubaini ni nini kiliwachelewesha na kujua kama walianzisha miradi yoyote njiani...isijekuwa ndiyi janja waliotumia kung'oa tembo wetu meno ha ha haa!kubwa kuliko yote ni kwamba ukichukua 1.75m ÷ 60 minutes = 2.9 cm per minute.. hivi kweli mtu ndani ya dakika anakava umbali wa sentimita 2.9?? dah huu si uongo kabisa huu mkuu? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
sifanyagi trip za kijinga mimi [emoji23] [emoji23] [emoji35] [emoji35] [emoji35]Ni wakati sasa wa kuunda jopo litakaloongozwa na wewe,na watu wengine watano...mpande [HASHTAG]#pangaboi[/HASHTAG] si tumeambiwa zinatua mazingira magumu! Mpite route msafara wa wana Israel walipita ili kubaini ni nini kiliwachelewesha na kujua kama walianzisha miradi yoyote njiani...isijekuwa ndiyi janja waliotumia kung'oa tembo wetu meno ha ha haa!
sifanyagi trip za kijinga mimi [emoji23] [emoji23] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Umbali kutoka Misri kwenda Israel ni kilomita 623 tu. Lakini Musa na kundi lake (wana wa Israel) walitumia miaka 40 kutembea hadi kufika nchi ya ahadi. Huu ni wastani wa kilomita 15 kwa mwaka, sawa na kilomita 1.25 kwa mwezi. Hii ni sawa na mita 42 tu kwa siku, yani umbali nusu ya uwanja wa mpira.
Moderators , mnamba ya simu ya Musa umlete hapa ajieleze, huu uvivu waliutoa wapi.
Sipendagi ujinga