nanya
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 672
- 522
kwa uzoefu wangu najua K ndo inatakiwa ifunguke. fungua K yako nipitishe mkwaju.Utakua ushamaliza haja sasa ndo maana umerudi haya sasa "EFATHA" (maana yake funguka) na ufikiri nje ya box.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa uzoefu wangu najua K ndo inatakiwa ifunguke. fungua K yako nipitishe mkwaju.Utakua ushamaliza haja sasa ndo maana umerudi haya sasa "EFATHA" (maana yake funguka) na ufikiri nje ya box.
kwa ufahamu wangu ukisema kitu kimemalizika siku flani, manake kulikua na kiporo na siku flani hio ndo ukamalizia kiporo, unaweza kuniambia kiporo gani cha siku ya 6 kilibaki mungu akakimalizia siku ya 7?Umenielewa nilichokiandika au ubishi tu ili siku dhana yako ikubalike!
Mwanzo 2:2 Na siku ya saba Mungu alimaliza kazi yake yote aliyoifanya; ...
Soma Biblia na uitafakari kwa umakini
Aisee kumbe napata shida na mtu wa hapa na pale ambaye anafikiria kwa kutumia kichwa cha chini. Mchana mwema mkuu, minding your own business is most paid job....let me mind mine and so do you!kwa uzoefu wangu najua K ndo inatakiwa ifunguke. fungua K yako nipitishe mkwaju.
Boss [emoji41] [emoji41]Aisee kumbe napata shida na mtu wa hapa na pale ambaye anafikiria kwa kutumia kichwa cha chini. Mchana mwema mkuu, minding your own business is most paid job....let me mind mine and so do you!
Nimekuwekea nukuu ya Kitabu cha Mwanzo 2:2.kwa ufahamu wangu ukisema kitu kimemalizika siku flani, manake kulikua na kiporo na siku flani hio ndo ukamalizia kiporo, unaweza kuniambia kiporo gani cha siku ya 6 kilibaki mungu akakimalizia siku ya 7?
jibu swali bwana kashande, siku ya 7 Mungu alimalizia kiporo gani cha siku ya 6?Nimekuwekea nukuu ya Kitabu cha Mwanzo 2:2.
Ukiyaanisha maandiko ya Biblia kwa ufahamu wetu binadamu, utauliza pia Mungu amewezaje kuumba binadamu kwa udongo na kumwekea pumzi ukawa uhai!
Umesoma Mwanzo 2:2! Au basi tu kwa kuwa umejifunga na "Mwanzo 31 Mungu akaona kila kitu alichokifanya, na tazama, ni chema sana. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya sita".jibu swali bwana kashande, siku ya 7 Mungu alimalizia kiporo gani cha siku ya 6?
sa ndo utumbo gani umeandika? jibu swali languUmesoma Mwanzo 2:2! Au basi tu kwa kuwa umejifunga na "Mwanzo 31 Mungu akaona kila kitu alichokifanya, na tazama, ni chema sana. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya sita".
Msomao Biblia msitari au haya moja, hamitendei Biblia haki.
pia mkuu kwa kuongezea ni kwamba hawakua wakisafiri straight, walikua wakifika sehemu wanaweka kambi labda hata mwaka then wanaendelea na safari, ndo maana kuna sehemu walikua wanaadhibiwa kwa kujichanganya na Miungu wengine pamoja na mataifa mengineMtoa mada kabla hujauliza swali lako kuna vitu vingi unatakiwa ujiulize,
a) Idadi ya watu kwenye msafara.
Kwa vile walikuwa wengi, iliwabidi waende taratibu, mmoja wapo akipata tatizo ni lazima wamsubirie. Kundi lilikuwa kubwa ilibidi ifike sehemu watafute chakula.
b) Jiografia ya kati ya Misri na nchi ya ahadi, kuna jangwa,milima,mabonde,mito na bahari. Kutokana na hayo inabidi sehemu ya kutumia siku moja inabidi mutumie miezi kadhaa kuuzunguka mlima au kukwepa bonde. Kumbuka kizazaa walichokipata wakati wanavuka bahari ya shamu.
c) Umri tofauti katika kundi, kulikuwa na watoto wazee na vijana.
d) Aina ya usafiri waliokuwa wanautumia, fikiria unatembea kwenye jangwa itakuchukua muda gani kurudisha nguvu zilizopotea.
e) Muda wa ibada, kuna wakati Musa ilibidi aende mlimani(sehemu yenye utulivu) kusali na kuongea na Mungu, kumbuka Mungu hapangiwi muda,unaweza msubiri hata miezi 8 hajakujibu.
Mwisho kabisa ulikuwa ndio mpango wa Mungu watumie miaka 40 kufika nchi ya mito na maziwa. ATAKAYE VUMILIA MPAKA MWISHO HUYO NDIE ATAKAYEIONA NCHI MUNGU ALIYOWAAHIDI WATU WAKE
Samahani, sikuzoea matusi wala ubishani usio na msingi. Soma kitabu cha Biblia cha Mwanzo 2:2 utapata jibu siku ya saba Mungu alifanya nini.sa ndo utumbo gani umeandika? jibu swali langu
Wana wa Israel hawakutumia miaka 40 kusafiri toka Misri kwenda Kanani, ukisoma kitabu chakutoka sura ya 19: 1 na kuendelea utaona imeandikwa kuwa wana wa Israel walifika jangwa la Sinai siku ya kwanza ya mwezi wa tatu tangu kutoka misri. Kumbuka kuwa Mlima Sinai ambao uko Israel, hapa waliishi kwa takribani mwaka moja na ushee waliondoka Sinai kuelekea nchi ya ahadi ( Hesabu 10: 11) Baada ya miezi michache walifika Kadesh - Barnea kwenye mpaka wa kusini na Kanan , hapo Mussa aliagizwa atume majasusi 12 wakaipeleleze Kanan - Hesabu 13: 27 - 33. wote walikiri kuwa Kanan ni nchi nzuri - Hesabu 13: 25 lkn hawakuwa na Imani kama wangeweza kuitwaa na Imani yao ilikuwa haba hadi kumkufuru Mungu Hesabu 14 : 1 - 4 isipokuwa Joshua na Caleb ........ukiendelea kusoma utaona Mungu aliwalaani kuwaHuwa nasoma maandiko yote yaliyombele yangu, yawe ya wasomi na wanamajumui ama ya wajinga na yakijinga, mimi husoma tu. Hii imenipa uwezo na ujasiri wakuyajua mambo mengi yaliyohifadhiwa kwa maandishi,
Lakini kuna jambo hakika kwa miaka mingi nimekuwa nikiumiza akili yangu bila kupata jibu, nimejaribu kuzama kiroho imeshindikana, nimejaribu kuzama kihistoria imeshindikana,
Umbali kati ya Misri na Israel ni km 613, kwamjibu wa Biblia inasema wana wa Israel walisafiri kwa miaka 40, inamana kila siku walisafiri mita 43?
Mafanikio ya binadamu duniani hutazamiwa afikapo miaka 18-40. Inaelezwa kwamba huo ndio mwenendo pia wa mafanikio ya taifa...
Wanamajumui wanasema ukizidi umri huo wewe uwe unatafuta hela ya kula tu, utajiri na hekima utavisikia tu
Wachungaji naomba msaada wa ufunuo hapa hapa....View attachment 403864
Na siku ya saba Mungu alimaliza kazi yake yote aliyoifanya; akastarehe siku ya saba, akaacha kufanya kazi yake yote aliyoifanya.Samahani, sikuzoea matusi wala ubishani usio na msingi. Soma kitabu cha Biblia cha Mwanzo 2:2 utapata jibu siku ya saba Mungu alifanya nini.
Kama hujui kuitumia Biblia nakushauri urejee kwenye mafundisho ya dini, iwapo wewe ni Mkristo kweli.
Sent from my SM-G360H using JamiiForums mobile app
Ukisoma kutoka yote ,mara nyingi walikua wanamuasi Mungu na hawakuwa wanamuamini Mtumishi wake Musa hivyo Mungu akawa anashikwa gadhabu hata kuwaacha kwenye kituo walichopumzika kwa miaka mingi ,,wakati mwingine akawaambia kizazi chao cha NNE ndo kitakachoiona nchi hiyo ya ahadi yenye maziwa na asali ,maana kizazi cha kwanza 2,3kilimuasi Mungu sana njiani ,malalamiko ya kila namna walikua nayo ,kuna wakati pia gadhabu ya Mungu ilisshuka arthi ikapasuka ikawameza watu karibu elf10Umbali kutoka Misri kwenda Israel ni kilomita 623 tu. Lakini Musa na kundi lake (wana wa Israel) walitumia miaka 40 kutembea hadi kufika nchi ya ahadi. Huu ni wastani wa kilomita 15 kwa mwaka, sawa na kilomita 1.25 kwa mwezi. Hii ni sawa na mita 42 tu kwa siku, yani umbali nusu ya uwanja wa mpira.
Moderators , mnamba ya simu ya Musa umlete hapa ajieleze, huu uvivu waliutoa wapi.
Sipendagi ujinga
Hili suala hujaliangalia kiroho kabisa au uwezo wako wa kiroho ni mdogo sana.Huwa nasoma maandiko yote yaliyombele yangu, yawe ya wasomi na wanamajumui ama ya wajinga na yakijinga, mimi husoma tu. Hii imenipa uwezo na ujasiri wakuyajua mambo mengi yaliyohifadhiwa kwa maandishi,
Lakini kuna jambo hakika kwa miaka mingi nimekuwa nikiumiza akili yangu bila kupata jibu, nimejaribu kuzama kiroho imeshindikana, nimejaribu kuzama kihistoria imeshindikana,
Umbali kati ya Misri na Israel ni km 613, kwamjibu wa Biblia inasema wana wa Israel walisafiri kwa miaka 40, inamana kila siku walisafiri mita 43?
Mafanikio ya binadamu duniani hutazamiwa afikapo miaka 18-40. Inaelezwa kwamba huo ndio mwenendo pia wa mafanikio ya taifa...
Wanamajumui wanasema ukizidi umri huo wewe uwe unatafuta hela ya kula tu, utajiri na hekima utavisikia tu
Wachungaji naomba msaada wa ufunuo hapa hapa....View attachment 403864