Umbali kati ya Misri na Israel ni KM 613, lakini wana wa Israel walisafiri kwa miaka 40

Umbali kati ya Misri na Israel ni KM 613, lakini wana wa Israel walisafiri kwa miaka 40

Utakua ushamaliza haja sasa ndo maana umerudi haya sasa "EFATHA" (maana yake funguka) na ufikiri nje ya box.
kwa uzoefu wangu najua K ndo inatakiwa ifunguke. fungua K yako nipitishe mkwaju.
 
Umenielewa nilichokiandika au ubishi tu ili siku dhana yako ikubalike!

Mwanzo 2:2 Na siku ya saba Mungu alimaliza kazi yake yote aliyoifanya; ...

Soma Biblia na uitafakari kwa umakini
kwa ufahamu wangu ukisema kitu kimemalizika siku flani, manake kulikua na kiporo na siku flani hio ndo ukamalizia kiporo, unaweza kuniambia kiporo gani cha siku ya 6 kilibaki mungu akakimalizia siku ya 7?
 
kwa uzoefu wangu najua K ndo inatakiwa ifunguke. fungua K yako nipitishe mkwaju.
Aisee kumbe napata shida na mtu wa hapa na pale ambaye anafikiria kwa kutumia kichwa cha chini. Mchana mwema mkuu, minding your own business is most paid job....let me mind mine and so do you!
 
Aisee kumbe napata shida na mtu wa hapa na pale ambaye anafikiria kwa kutumia kichwa cha chini. Mchana mwema mkuu, minding your own business is most paid job....let me mind mine and so do you!
Boss [emoji41] [emoji41]
 
kama kuna watu walipigwa upofu tu wakapapasa mlango kuanzia asubuhi hata jioni wasiuone itashindikana vipi watu fulani waranderande nyikani ili waelewe Masomo ya Mungu ambaye hawakumuelewa?kama unataka kumtafuta Mungu wa kweli alafu unakuja na akili za kibinadamu itakuwa ngumu kumuelewa Mungu huyu.Nipendekeze kwako ya kwamba umuombe Mungu akupe hekima ya kimbingu kuelewa jinsi mbingu zinavyosimamia taratibu zote za maisha yetu.
 
kasome vizuri bible..
pamoja nilisoma kipindi cha kipaimara
ila nilikua napenda agano la kale, maana nilikua naona kama hadithi fulani za mvuto..
waizraeli walisafiri miaka 40 kwa 7bu..
walikua wanaenda kama sisi sote tulivokuja hapa Tz
wanatembea wanapiga kambi
wanaishi kwa muda mrefu sana..
wanaendelea tena na safari/wakati mwingine wanavamia milki za watu wanapigana na vita kabisa...
hio nchi ya kanaani yenyewe walipigana vita , ndio wakaingia nchi ya ahadi..
kwahiyo miaka hio ni jambo la kawaida sana..
migration almost kila kabila wamefanya...
 
kwa ufahamu wangu ukisema kitu kimemalizika siku flani, manake kulikua na kiporo na siku flani hio ndo ukamalizia kiporo, unaweza kuniambia kiporo gani cha siku ya 6 kilibaki mungu akakimalizia siku ya 7?
Nimekuwekea nukuu ya Kitabu cha Mwanzo 2:2.

Ukiyaanisha maandiko ya Biblia kwa ufahamu wetu binadamu, utauliza pia Mungu amewezaje kuumba binadamu kwa udongo na kumwekea pumzi ukawa uhai!
 
Nimekuwekea nukuu ya Kitabu cha Mwanzo 2:2.

Ukiyaanisha maandiko ya Biblia kwa ufahamu wetu binadamu, utauliza pia Mungu amewezaje kuumba binadamu kwa udongo na kumwekea pumzi ukawa uhai!
jibu swali bwana kashande, siku ya 7 Mungu alimalizia kiporo gani cha siku ya 6?
 
jibu swali bwana kashande, siku ya 7 Mungu alimalizia kiporo gani cha siku ya 6?
Umesoma Mwanzo 2:2! Au basi tu kwa kuwa umejifunga na "Mwanzo 31 Mungu akaona kila kitu alichokifanya, na tazama, ni chema sana. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya sita".

Msomao Biblia msitari au haya moja, hamitendei Biblia haki.
 
sa ndo utumbo gani umeandika? jibu swali langu
 
Mtoa mada kabla hujauliza swali lako kuna vitu vingi unatakiwa ujiulize,
a) Idadi ya watu kwenye msafara.
Kwa vile walikuwa wengi, iliwabidi waende taratibu, mmoja wapo akipata tatizo ni lazima wamsubirie. Kundi lilikuwa kubwa ilibidi ifike sehemu watafute chakula.

b) Jiografia ya kati ya Misri na nchi ya ahadi, kuna jangwa,milima,mabonde,mito na bahari. Kutokana na hayo inabidi sehemu ya kutumia siku moja inabidi mutumie miezi kadhaa kuuzunguka mlima au kukwepa bonde. Kumbuka kizazaa walichokipata wakati wanavuka bahari ya shamu.

c) Umri tofauti katika kundi, kulikuwa na watoto wazee na vijana.

d) Aina ya usafiri waliokuwa wanautumia, fikiria unatembea kwenye jangwa itakuchukua muda gani kurudisha nguvu zilizopotea.

e) Muda wa ibada, kuna wakati Musa ilibidi aende mlimani(sehemu yenye utulivu) kusali na kuongea na Mungu, kumbuka Mungu hapangiwi muda,unaweza msubiri hata miezi 8 hajakujibu.

Mwisho kabisa ulikuwa ndio mpango wa Mungu watumie miaka 40 kufika nchi ya mito na maziwa. ATAKAYE VUMILIA MPAKA MWISHO HUYO NDIE ATAKAYEIONA NCHI MUNGU ALIYOWAAHIDI WATU WAKE
pia mkuu kwa kuongezea ni kwamba hawakua wakisafiri straight, walikua wakifika sehemu wanaweka kambi labda hata mwaka then wanaendelea na safari, ndo maana kuna sehemu walikua wanaadhibiwa kwa kujichanganya na Miungu wengine pamoja na mataifa mengine
 
sa ndo utumbo gani umeandika? jibu swali langu
Samahani, sikuzoea matusi wala ubishani usio na msingi. Soma kitabu cha Biblia cha Mwanzo 2:2 utapata jibu siku ya saba Mungu alifanya nini.

Kama hujui kuitumia Biblia nakushauri urejee kwenye mafundisho ya dini, iwapo wewe ni Mkristo kweli.

Sent from my SM-G360H using JamiiForums mobile app
 
Huwa nasoma maandiko yote yaliyombele yangu, yawe ya wasomi na wanamajumui ama ya wajinga na yakijinga, mimi husoma tu. Hii imenipa uwezo na ujasiri wakuyajua mambo mengi yaliyohifadhiwa kwa maandishi,

Lakini kuna jambo hakika kwa miaka mingi nimekuwa nikiumiza akili yangu bila kupata jibu, nimejaribu kuzama kiroho imeshindikana, nimejaribu kuzama kihistoria imeshindikana,

Umbali kati ya Misri na Israel ni km 613, kwamjibu wa Biblia inasema wana wa Israel walisafiri kwa miaka 40, inamana kila siku walisafiri mita 43?

Mafanikio ya binadamu duniani hutazamiwa afikapo miaka 18-40. Inaelezwa kwamba huo ndio mwenendo pia wa mafanikio ya taifa...

Wanamajumui wanasema ukizidi umri huo wewe uwe unatafuta hela ya kula tu, utajiri na hekima utavisikia tu

Wachungaji naomba msaada wa ufunuo hapa hapa....View attachment 403864
Wana wa Israel hawakutumia miaka 40 kusafiri toka Misri kwenda Kanani, ukisoma kitabu chakutoka sura ya 19: 1 na kuendelea utaona imeandikwa kuwa wana wa Israel walifika jangwa la Sinai siku ya kwanza ya mwezi wa tatu tangu kutoka misri. Kumbuka kuwa Mlima Sinai ambao uko Israel, hapa waliishi kwa takribani mwaka moja na ushee waliondoka Sinai kuelekea nchi ya ahadi ( Hesabu 10: 11) Baada ya miezi michache walifika Kadesh - Barnea kwenye mpaka wa kusini na Kanan , hapo Mussa aliagizwa atume majasusi 12 wakaipeleleze Kanan - Hesabu 13: 27 - 33. wote walikiri kuwa Kanan ni nchi nzuri - Hesabu 13: 25 lkn hawakuwa na Imani kama wangeweza kuitwaa na Imani yao ilikuwa haba hadi kumkufuru Mungu Hesabu 14 : 1 - 4 isipokuwa Joshua na Caleb ........ukiendelea kusoma utaona Mungu aliwalaani kuwa
kuwa hawataina kanan Hesabu 14 : 29 - 33 na mstari wa 34 wakalaaniwa kuwa watataabika kwa miaka 40.
Hivyo safari ilichukua muda mfupi bali laana waliyopewa ndiyo kutaabika jangwani kwa miaka 40
 
Samahani, sikuzoea matusi wala ubishani usio na msingi. Soma kitabu cha Biblia cha Mwanzo 2:2 utapata jibu siku ya saba Mungu alifanya nini.

Kama hujui kuitumia Biblia nakushauri urejee kwenye mafundisho ya dini, iwapo wewe ni Mkristo kweli.

Sent from my SM-G360H using JamiiForums mobile app
Na siku ya saba Mungu alimaliza kazi yake yote aliyoifanya; akastarehe siku ya saba, akaacha kufanya kazi yake yote aliyoifanya.

sasa niambie wewe mcha mungu, kazi gani iliyomalizika siku ya saba? hebu nitafakarie
 
Umbali kutoka Misri kwenda Israel ni kilomita 623 tu. Lakini Musa na kundi lake (wana wa Israel) walitumia miaka 40 kutembea hadi kufika nchi ya ahadi. Huu ni wastani wa kilomita 15 kwa mwaka, sawa na kilomita 1.25 kwa mwezi. Hii ni sawa na mita 42 tu kwa siku, yani umbali nusu ya uwanja wa mpira.

Moderators , mnamba ya simu ya Musa umlete hapa ajieleze, huu uvivu waliutoa wapi.

Sipendagi ujinga
Ukisoma kutoka yote ,mara nyingi walikua wanamuasi Mungu na hawakuwa wanamuamini Mtumishi wake Musa hivyo Mungu akawa anashikwa gadhabu hata kuwaacha kwenye kituo walichopumzika kwa miaka mingi ,,wakati mwingine akawaambia kizazi chao cha NNE ndo kitakachoiona nchi hiyo ya ahadi yenye maziwa na asali ,maana kizazi cha kwanza 2,3kilimuasi Mungu sana njiani ,malalamiko ya kila namna walikua nayo ,kuna wakati pia gadhabu ya Mungu ilisshuka arthi ikapasuka ikawameza watu karibu elf10
 
Huwa nasoma maandiko yote yaliyombele yangu, yawe ya wasomi na wanamajumui ama ya wajinga na yakijinga, mimi husoma tu. Hii imenipa uwezo na ujasiri wakuyajua mambo mengi yaliyohifadhiwa kwa maandishi,

Lakini kuna jambo hakika kwa miaka mingi nimekuwa nikiumiza akili yangu bila kupata jibu, nimejaribu kuzama kiroho imeshindikana, nimejaribu kuzama kihistoria imeshindikana,

Umbali kati ya Misri na Israel ni km 613, kwamjibu wa Biblia inasema wana wa Israel walisafiri kwa miaka 40, inamana kila siku walisafiri mita 43?

Mafanikio ya binadamu duniani hutazamiwa afikapo miaka 18-40. Inaelezwa kwamba huo ndio mwenendo pia wa mafanikio ya taifa...

Wanamajumui wanasema ukizidi umri huo wewe uwe unatafuta hela ya kula tu, utajiri na hekima utavisikia tu

Wachungaji naomba msaada wa ufunuo hapa hapa....View attachment 403864
Hili suala hujaliangalia kiroho kabisa au uwezo wako wa kiroho ni mdogo sana.
Kwanza ina bidi utafute maana ya maneno haya kiroho(Misri, Israel, na namba 40).
 
Nimeitoa sehemu:
Umbali kutoka Misri kwenda Israel ni kilomita 623 tu. Lakini Musa na kundi lake (wana wa Israel) walitumia miaka 40 kutembea hadi kufika nchi ya ahadi. Huu ni wastani wa kilomita 15 kwa mwaka, sawa na kilomita 1.25 kwa mwezi. Hii ni sawa na mita 42 tu kwa siku, yani umbali nusu ya uwanja wa mpira.

Mwenye namba ya simu ya Musa amlete hapa ajieleze, huu uvivu waliutoa wapi.

*Sipendagi ujinga*
 
Back
Top Bottom