Umbali kati ya Misri na Israel ni KM 613, lakini wana wa Israel walisafiri kwa miaka 40

Umbali kati ya Misri na Israel ni KM 613, lakini wana wa Israel walisafiri kwa miaka 40

Umbali kutoka Egypt hadi Israel ni km 613 tu basi, ambapo Mussa na wana wa Isreal walitumia miaka 40 kutembea katika umbali huo wa safari.

Kwa wastani wa mita 43 kama utafanya mahesabu ya kwa siku, hii ukichukua mita 43 mara miaka 40 utapata umbali wa Km 613, hapa tunapata kuwa Mussa na wana wa Israel walitembea mita 43 kwa kila siku.

Ndiyo, mita 43 umbali ambao Usain Bolt anakimbia kwa sekunde 5 tu, dah!

Natamani hapa aje mtu atupatie maelezo ya kina kuhusu jambo hili.View attachment 2381539
Mm nilijuwa leo utatuletea hbr za space sad umeamia huku Tena ,embu niambie maandalizi ya kwenda mars maandalizi vp

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kwa kosa gan wakat walitoka utumwani
Soma Hesabu 14, walitumia almost miez 12 kufika mpakani na penyewe haukuwa direct route , baada ya hapo ndo kibembe cha miaka 40 kikaanza yaani ni kuzunguka tuuu , kuna wahuni wachache walijarbu ku_reason Ila walikumbana na cha moto
 
Kwani ukitumia miaka miwili kujenga nyumba yako ina maana kila siku unajenga
Alfu pia walikuwa wanaweka kambi kwa muda mrefu na kulikuwa na wanawake walibeba mimba hvyo walipata muda was kutosha kuwepo jwangani mfno unakah sehemu miaka 10 Kisha unaendelea na safari

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hujawahi kupotea kariakoo ukajikuta unarudi mtaa uleule,kama uko dar.
Kwa mikoani kupotea porini ni kawaida sana
Same applies to jangwani.
Ila kupotea kwao ilikuwa ni mpango wa Mungu
Acha upotoshaji na uongo mbona hesabu 32:10-13 imetoa sababu ya wao kukaa miaka 40 jangwani

Kwanin miaka 40 ni siku walizotumia wale wapelelezi kwenda kuipeleleza kaanani na kuleta habari mbaya except kwa kalebu na joshua
 
Biblia inasema Mungu alifanya hvyo kimaksudi, walikuwa wanatembea almost kila saa na walikuwa wanazunguka humohumo, ndo maana Jacob na wanae walienda ndani ya week chache tu israel
Waisrael walikuwa wabishi sana na waliojawa na hasira na Mungu alifanya makusudi ili kuzazi kipya ndo kiende israel,na waache utamaduni wao wa kiMisri
 
Alfu pia walikuwa wanaweka kambi kwa muda mrefu na kulikuwa na wanawake walibeba mimba hvyo walipata muda was kutosha kuwepo jwangani mfno unakah sehemu miaka 10 Kisha unaendelea na safari

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ndio watumie miak yote hyo kufika nchi ya ahadi
 
Acha upotoshaji na uongo mbona hesabu 32:10-13 imetoa sababu ya wao kukaa miaka 40 jangwani

Kwanin miaka 40 ni siku walizotumia wale wapelelezi kwenda kuipeleleza kaanani na kuleta habari mbaya except kwa kalebu na joshua
Bora unisaidie maana [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha upotoshaji na uongo mbona hesabu 32:10-13 imetoa sababu ya wao kukaa miaka 40 jangwani

Kwanin miaka 40 ni siku walizotumia wale wapelelezi kwenda kuipeleleza kaanani na kuleta habari mbaya except kwa kalebu na joshua
Mi nimetoa tafsiri ya huo mstari sijapotosha,
 
Utakatifu ni kitu gani? Sija kashfu kitu nimesema ukweli ninaoujua mimi. Biblia ni kitabu kinachojichanganya sana kwa mtu mwenye akili aneweza kufikiria nje ya box basi hawezi kuamini.
Vpi kuhus kile Cha upande wa pili [emoji2760]
 
Walikuwa wakisafiri huku wakiweka kambi kwa miaka kadhaa na kuendelea tena na safari

Na ile miaka 40 waliyotangatanga pale nyikani ilikuwa ni adhabu ya kumkosea Mungu soma HESABU 14:34 inasema; Kutokana na makosa yenu, mtataabika kwa muda wa miaka arubaini, sawa na zile siku arubaini mlizopeleleza ile nchi, mwaka mmoja kwa kila siku moja; mtatambua kwamba mimi nimechukizwa.

Kosa lao lilikuwa ni kuwaamini wapelelezi wa uongo walioenda kupeleleza nchi ya ahadi kwa siku 40

Unaona Mungu anawaambia adhabu itakuwa ni mwaka mmoja kwa kila siku moja....kwa hiyo siku 40 ilimaanisha adhabu ya miaka 40 ndo maana iliwachukua miaka 40 kufika Kanaani
 
Utakatifu ni kitu gani? Sija kashfu kitu nimesema ukweli ninaoujua mimi. Biblia ni kitabu kinachojichanganya sana kwa mtu mwenye akili aneweza kufikiria nje ya box basi hawezi kuamini.
Biblia umezaliwa umeikuta iko vizazi na vizazi wewe ni nani useme Biblia inajichanganya acha kubwatabwata kama mlevi
 
Biblia umezaliwa umeikuta iko vizazi na vizazi wewe ni nani useme Biblia inajichanganya acha kubwatabwata kama mlevi
Wapumbafu kama wewe mtaendelea kutapeliwa tu kwakuwa hata uwezo wa kufikiri hamna. Pambania kombe lako jombaa usipambane na mimi utakaa.
 
Back
Top Bottom