goroko77
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 8,845
- 13,072
Mm nilijuwa leo utatuletea hbr za space sad umeamia huku Tena ,embu niambie maandalizi ya kwenda mars maandalizi vpUmbali kutoka Egypt hadi Israel ni km 613 tu basi, ambapo Mussa na wana wa Isreal walitumia miaka 40 kutembea katika umbali huo wa safari.
Kwa wastani wa mita 43 kama utafanya mahesabu ya kwa siku, hii ukichukua mita 43 mara miaka 40 utapata umbali wa Km 613, hapa tunapata kuwa Mussa na wana wa Israel walitembea mita 43 kwa kila siku.
Ndiyo, mita 43 umbali ambao Usain Bolt anakimbia kwa sekunde 5 tu, dah!
Natamani hapa aje mtu atupatie maelezo ya kina kuhusu jambo hili.View attachment 2381539
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app