Adhabu ya viboko au,adhabu ina explanation ,ndio nilichofanyaTafsiri inasema ilikua adhabu wewe unasema otherwise
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Adhabu ya viboko au,adhabu ina explanation ,ndio nilichofanyaTafsiri inasema ilikua adhabu wewe unasema otherwise
Walikufa wote njiani. Baada ya kutoami kwao. Hii ndio adhabu waliyopewa na BwanaNaelewa sana mkuu. Mtu aliyekuwa na miaka 50 wakati huo alifika akiwa na 90 years! Teh teh teh. Kikongwe!
Sasa wee chalii unakwenda kinyume na bibilia bangi za Arusha zinakuharibu mno, bibilia iko wasiWapumbafu kama wewe mtaendelea kutapeliwa tu kwakuwa hata uwezo wa kufikiri hamna. Pambania kombe lako jombaa usipambane na mimi utakaa.
Bangi mbaya sanaUtakatifu ni kitu gani? Sija kashfu kitu nimesema ukweli ninaoujua mimi. Biblia ni kitabu kinachojichanganya sana kwa mtu mwenye akili aneweza kufikiria nje ya box basi hawezi kuamini.
Umenitangulia kuongea kile nilitaka kusema, watu wengi hawafatilii historia na ni kama watotoNyie watu kwa nini hamtumii akili kuchanganua mambo???
Hivi kweli hilo ni jambo la kukusumbua akili???
Summary ya historia:
Waisrael walitoka misri mpaka mpakani kuingia kanani kwa mda mfupi tu.
Walipofika pale walipeleka wapelelezi 12 kuchunguza hio nchi. Wapelelezi wakarudisha taarifa za kuleta taharuki. Watu wakagoma kuendelea na safari wakataka kurudi misri.
Mungu alikasirika na aliwapa adhabu ya kuzunguka jangwani miaka 40 yaani ili wote waliotoka misri waishi na kufa na watoto wao ndio waingie nchi ya ahadi.
Kwa hio ilikua wanatoka hapa wanaenda pale wanarudi kule!!! Mpaka miaka 40 ilipotimia ndipo watoto wa wale waliotoka misri wakaingia nchi ya ahadi wakianza na Yeriko!!!
Someni basi Biblia yote. Kama vipi soma kitabu cha kutoka na kumbukumbu hizi habari utazipata. Usisome mstari mmoja tu kisha ukaacha utapata shida sana na manabii wa uongo watakupepeta kama ngano!!
Tunasoma katika bibilia kuwa wana wa israel walichukua muda wa miaka 40 kufika nchi ya ahadi wakitokea utumwani misri. Hapa najiuliza sana. Miaka 40 kutoka hapo kairo kwenda yerusalemu?
Mbona ni miaka mingi sana? Au walikuwa hawajui njia? Mimi napata mashaka, miaka waliyokuwa wanahesabu cyo hii tunayohesabu sisi.
Hivi kuna umbali gani kutoka misri (cairo) kwenda israel (yerusalemu)?
====
Yericko Nyerere
Huwa nasoma maandiko yote yaliyombele yangu, yawe ya wasomi na wanamajumui ama ya wajinga na yakijinga, mimi husoma tu. Hii imenipa uwezo na ujasiri wakuyajua mambo mengi yaliyohifadhiwa kwa maandishi,
Lakini kuna jambo hakika kwa miaka mingi nimekuwa nikiumiza akili yangu bila kupata jibu, nimejaribu kuzama kiroho imeshindikana, nimejaribu kuzama kihistoria imeshindikana,
Umbali kati ya Misri na Israel ni km 613, kwamjibu wa Biblia inasema wana wa Israel walisafiri kwa miaka 40, inamana kila siku walisafiri mita 43?
Mafanikio ya binadamu duniani hutazamiwa afikapo miaka 18-40. Inaelezwa kwamba huo ndio mwenendo pia wa mafanikio ya taifa.
Wanamajumui wanasema ukizidi umri huo wewe uwe unatafuta hela ya kula tu, utajiri na hekima utavisikia tu
Wachungaji naomba msaada wa ufunuo hapa hapa.
![]()
Ni kweliThe Exodus perfectly resembles what we are going through here in Africa. Miaka zaidi ya 60 nchi nyingi za Sub Saharan Africa bado zinaandamwa na umasikini wa kutupwa.
Kwanza jangwa: hicho kipande chote hapo katikati ni jangwa.Kuhusu Wana wa Israel kutumia 40 years ku travel sababu kuu ni kumuasi Mungu, wakamchukiza Mungu hapo ndo akawapa hiyo adhabu.
Si kweli, kwanza kwenye safari hiyo hawakupigana na wafilisti,, pili misri inapakana na israel,umbali wao ni zero distance,Kwanza jangwa: hicho kipande chote hapo katikati ni jangwa.
Pili maadui: wafilisti, nk waliwapa changamoto na vita nyingi
Tatu kukosa ramani: walijikuta wanazunguka pale pale kwa miaka mingi
The Philistines deployed their forces to meet Israel, and as the battle spread, Israel was defeated by the Philistines, who killed about four thousand of them on the battlefield. When the soldiers returned to camp, the elders of Israel asked, "Why did the LORD bring defeat upon us today before the Philistines? 1Sam 4:10Si kweli, kwanza kwenye safari hiyo hawakupigana na wafilisti,, pili misri inapakana na israel,umbali wao ni zero distance,
Tatu, misri ilitawala hadi nchi ya ahadi,, kudai kuwa kuna watu walikimbia utumwani toka misri ni uongo, kwani caanan ilikua ni jimbo la misri
Philistines hawakua njiani navyokumbuka, pili hata yahova aliyataja makabila specific ambayo waisrael walitakiwa kuwaangamiza na kuwapokonya ardhi, wafilisti hawakuepo katika orodha,, hebu expand hiyo aya, tuone ni wakati gani wafilist walianza uhsama na waisraelThe Philistines deployed their forces to meet Israel, and as the battle spread, Israel was defeated by the Philistines, who killed about four thousand of them on the battlefield. When the soldiers returned to camp, the elders of Israel asked, "Why did the LORD bring defeat upon us today before the Philistines? 1Sam 4:10
Inakutosha kwa leo.
Soma hiyo 1Sam 4: 1-20 usitegemee kumbukumbu yako tu.Philistines hawakua njiani navyokumbuka, pili hata yahova aliyataja makabila specific ambayo waisrael walitakiwa kuwaangamiza na kuwapokonya ardhi, wafilisti hawakuepo katika orodha,, hebu expand hiyo aya, tuone ni wakati gani wafilist walianza uhsama na waisrael
Soma kitabu cha joshua, achana n samwel.Soma hiyo 1Sam 4: 1-20 usitegemee kumbukumbu yako tu.
Nchi ipi hiyo ya ahadi iliyotawaliwa na Misri!!??....Si kweli, kwanza kwenye safari hiyo hawakupigana na wafilisti,, pili misri inapakana na israel,umbali wao ni zero distance,
Tatu, misri ilitawala hadi nchi ya ahadi,, kudai kuwa kuna watu walikimbia utumwani toka misri ni uongo, kwani caanan ilikua ni jimbo la misri