Umbali kati ya Misri na Israel ni KM 613, lakini wana wa Israel walisafiri kwa miaka 40

Umbali kati ya Misri na Israel ni KM 613, lakini wana wa Israel walisafiri kwa miaka 40

Nyie watu kwa nini hamtumii akili kuchanganua mambo???

Hivi kweli hilo ni jambo la kukusumbua akili???

Summary ya historia:

Waisrael walitoka misri mpaka mpakani kuingia kanani kwa mda mfupi tu.

Walipofika pale walipeleka wapelelezi 12 kuchunguza hio nchi. Wapelelezi wakarudisha taarifa za kuleta taharuki. Watu wakagoma kuendelea na safari wakataka kurudi misri.

Mungu alikasirika na aliwapa adhabu ya kuzunguka jangwani miaka 40 yaani ili wote waliotoka misri waishi na kufa na watoto wao ndio waingie nchi ya ahadi.

Kwa hio ilikua wanatoka hapa wanaenda pale wanarudi kule!!! Mpaka miaka 40 ilipotimia ndipo watoto wa wale waliotoka misri wakaingia nchi ya ahadi wakianza na Yeriko!!!

Someni basi Biblia yote. Kama vipi soma kitabu cha kutoka na kumbukumbu hizi habari utazipata. Usisome mstari mmoja tu kisha ukaacha utapata shida sana na manabii wa uongo watakupepeta kama ngano!!
 
Umenitangulia kuongea kile nilitaka kusema, watu wengi hawafatilii historia na ni kama watoto
 
Kwaiyo kutembea kwa urefu wa uwanja wa mpira mita 100 wanatumia siku mbili na nusu. sometimes aya maandiko hayakujua kuwa kizazi cha mbeleni kitakuwa cha wadadisi. hii ilikuwa Chai
 
Tunasoma katika bibilia kuwa wana wa israel walichukua muda wa miaka 40 kufika nchi ya ahadi wakitokea utumwani misri. Hapa najiuliza sana. Miaka 40 kutoka hapo kairo kwenda yerusalemu?

Mbona ni miaka mingi sana? Au walikuwa hawajui njia? Mimi napata mashaka, miaka waliyokuwa wanahesabu cyo hii tunayohesabu sisi.

Hivi kuna umbali gani kutoka misri (cairo) kwenda israel (yerusalemu)?

====

Yericko Nyerere
Huwa nasoma maandiko yote yaliyombele yangu, yawe ya wasomi na wanamajumui ama ya wajinga na yakijinga, mimi husoma tu. Hii imenipa uwezo na ujasiri wakuyajua mambo mengi yaliyohifadhiwa kwa maandishi,

Lakini kuna jambo hakika kwa miaka mingi nimekuwa nikiumiza akili yangu bila kupata jibu, nimejaribu kuzama kiroho imeshindikana, nimejaribu kuzama kihistoria imeshindikana,

Umbali kati ya Misri na Israel ni km 613, kwamjibu wa Biblia inasema wana wa Israel walisafiri kwa miaka 40, inamana kila siku walisafiri mita 43?

Mafanikio ya binadamu duniani hutazamiwa afikapo miaka 18-40. Inaelezwa kwamba huo ndio mwenendo pia wa mafanikio ya taifa.

Wanamajumui wanasema ukizidi umri huo wewe uwe unatafuta hela ya kula tu, utajiri na hekima utavisikia tu

Wachungaji naomba msaada wa ufunuo hapa hapa.
img-20160920-wa0176-jpg.403864

Safari sio lazima non-stop, huenda walikuwa wanaweka kambi sehemu miaka 8 wanaanza tena safari. Kwani wangoni walitumia miaka mingapi kufika Tz?
 
QURAN 5:20-26

20. Na pale Musa alipo waambia watu wake: Enyi watu wangu! Kumbukeni neema za Mwenyezi Mungu zilizo juu yenu, alipo wateuwa Manabii kati yenu, na akakufanyeni watawala, na akakupeni ambayo hakuwapa wowote katika walimwengu.

21. Enyi watu wangu! Ingieni katika nchi takatifu ambayo Mwenyezi Mungu amekuandikieni. Wala msirudi nyuma, msije mkawa wenye kupata hasara.

22. Wakasema: Ewe Musa! Huko kuna watu majabari(jeuri). Nasi hatutaingia huko mpaka wao watoke humo. Wakitoka humo hapo tutaingia.

23. Watu wawili miongoni mwa wacha Mungu ambao Mwenyezi Mungu amewaneemesha, walisema: Waingilieni kwa mlangoni. Mtakapo waingilia basi kwa yakini nyinyi mtashinda (vita). Na mtegemeeni Mwenyezi Mungu ikiwa nyinyi ni Waumini. 24. Wakasema: Ewe Musa! Sisi hatutaingia humo kamwe maadamu wao wamo humo. Basi nenda wewe na Mola wako Mlezi mkapigane. Sisi tutakaa hapa hapa(kusubiri kitakachojiri)

25. Akasema (Musa): Mola wangu Mlezi! Hakika mimi similiki ila nafsi yangu na ndugu yangu (Haruni). Basi tutenge na hawa watu wapotovu.

26. (Mwenyezi Mungu) akasema: Basi nchi hiyo wameharimishiwa muda wa miaka arubaini, watakuwa wakitanga-tanga katika ardhi. Basi wewe usiwasikitikie watu wapotovu."

Kuhusu Wana wa Israel kutumia 40 years ku travel sababu kuu ni kumuasi Mungu, wakamchukiza Mungu hapo ndo akawapa hiyo adhabu.
Kwanza jangwa: hicho kipande chote hapo katikati ni jangwa.
Pili maadui: wafilisti, nk waliwapa changamoto na vita nyingi
Tatu kukosa ramani: walijikuta wanazunguka pale pale kwa miaka mingi
 
Kwanza jangwa: hicho kipande chote hapo katikati ni jangwa.
Pili maadui: wafilisti, nk waliwapa changamoto na vita nyingi
Tatu kukosa ramani: walijikuta wanazunguka pale pale kwa miaka mingi
Si kweli, kwanza kwenye safari hiyo hawakupigana na wafilisti,, pili misri inapakana na israel,umbali wao ni zero distance,
Tatu, misri ilitawala hadi nchi ya ahadi,, kudai kuwa kuna watu walikimbia utumwani toka misri ni uongo, kwani caanan ilikua ni jimbo la misri
 
The Philistines deployed their forces to meet Israel, and as the battle spread, Israel was defeated by the Philistines, who killed about four thousand of them on the battlefield. When the soldiers returned to camp, the elders of Israel asked, "Why did the LORD bring defeat upon us today before the Philistines? 1Sam 4:10

Inakutosha kwa leo.
 
Philistines hawakua njiani navyokumbuka, pili hata yahova aliyataja makabila specific ambayo waisrael walitakiwa kuwaangamiza na kuwapokonya ardhi, wafilisti hawakuepo katika orodha,, hebu expand hiyo aya, tuone ni wakati gani wafilist walianza uhsama na waisrael
 
Soma hiyo 1Sam 4: 1-20 usitegemee kumbukumbu yako tu.
 
Kwani South Africa na Tanzania kuna umbali gani hadi akina Zwangendaba watumie miaka 20 kwenye ngoni migration.
 
Si kweli, kwanza kwenye safari hiyo hawakupigana na wafilisti,, pili misri inapakana na israel,umbali wao ni zero distance,
Tatu, misri ilitawala hadi nchi ya ahadi,, kudai kuwa kuna watu walikimbia utumwani toka misri ni uongo, kwani caanan ilikua ni jimbo la misri
Nchi ipi hiyo ya ahadi iliyotawaliwa na Misri!!??....
 
Back
Top Bottom