Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Caanan, amuru, put,, zilikuwa province za misri, during bronze age to iron age, takriban miaka 300🤷🏿♀️Nchi ipi hiyo ya ahadi iliyotawaliwa na Misri!!??....
Aya ya 26 imetoa majibu. Asante sanaQURAN 5:20-26
20. Na pale Musa alipo waambia watu wake: Enyi watu wangu! Kumbukeni neema za Mwenyezi Mungu zilizo juu yenu, alipo wateuwa Manabii kati yenu, na akakufanyeni watawala, na akakupeni ambayo hakuwapa wowote katika walimwengu.
21. Enyi watu wangu! Ingieni katika nchi takatifu ambayo Mwenyezi Mungu amekuandikieni. Wala msirudi nyuma, msije mkawa wenye kupata hasara.
22. Wakasema: Ewe Musa! Huko kuna watu majabari(jeuri). Nasi hatutaingia huko mpaka wao watoke humo. Wakitoka humo hapo tutaingia.
23. Watu wawili miongoni mwa wacha Mungu ambao Mwenyezi Mungu amewaneemesha, walisema: Waingilieni kwa mlangoni. Mtakapo waingilia basi kwa yakini nyinyi mtashinda (vita). Na mtegemeeni Mwenyezi Mungu ikiwa nyinyi ni Waumini. 24. Wakasema: Ewe Musa! Sisi hatutaingia humo kamwe maadamu wao wamo humo. Basi nenda wewe na Mola wako Mlezi mkapigane. Sisi tutakaa hapa hapa(kusubiri kitakachojiri)
25. Akasema (Musa): Mola wangu Mlezi! Hakika mimi similiki ila nafsi yangu na ndugu yangu (Haruni). Basi tutenge na hawa watu wapotovu.
26. (Mwenyezi Mungu) akasema: Basi nchi hiyo wameharimishiwa muda wa miaka arubaini, watakuwa wakitanga-tanga katika ardhi. Basi wewe usiwasikitikie watu wapotovu."
Tunasoma katika bibilia kuwa wana wa israel walichukua muda wa miaka 40 kufika nchi ya ahadi wakitokea utumwani misri. Hapa najiuliza sana. Miaka 40 kutoka hapo kairo kwenda yerusalemu?
Mbona ni miaka mingi sana? Au walikuwa hawajui njia? Mimi napata mashaka, miaka waliyokuwa wanahesabu cyo hii tunayohesabu sisi.
Hivi kuna umbali gani kutoka misri (cairo) kwenda israel (yerusalemu)?
====
Yericko Nyerere
Huwa nasoma maandiko yote yaliyombele yangu, yawe ya wasomi na wanamajumui ama ya wajinga na yakijinga, mimi husoma tu. Hii imenipa uwezo na ujasiri wakuyajua mambo mengi yaliyohifadhiwa kwa maandishi,
Lakini kuna jambo hakika kwa miaka mingi nimekuwa nikiumiza akili yangu bila kupata jibu, nimejaribu kuzama kiroho imeshindikana, nimejaribu kuzama kihistoria imeshindikana,
Umbali kati ya Misri na Israel ni km 613, kwamjibu wa Biblia inasema wana wa Israel walisafiri kwa miaka 40, inamana kila siku walisafiri mita 43?
Mafanikio ya binadamu duniani hutazamiwa afikapo miaka 18-40. Inaelezwa kwamba huo ndio mwenendo pia wa mafanikio ya taifa.
Wanamajumui wanasema ukizidi umri huo wewe uwe unatafuta hela ya kula tu, utajiri na hekima utavisikia tu
Wachungaji naomba msaada wa ufunuo hapa hapa.
![]()
[/QUOTE swali huwa najiuliza piai swali
Misri ya Leo sio Misri ya enzi za Musa, pia haimaanishi kuwa walikuwa wakisafiri kwa miaka yote hiyo, Kuna process kuweza kuachiliwa kutoka mtumwa hadi kwa huru
Sijapitia majibu ya watu wengine. Lakini safari ya Waisraeli kutoka Misri hadi Kanaani, iliyochukua miaka 40, ilitokana na sababu kadhaa zilizoelezwa vizuri katika maandiko ya Biblia (huhitaji reference ya vitabu vingine vilivyonakili mapokeo ya agano la kale), hasa katika Kitabu cha Kutoka na Hesabu:Tunasoma katika bibilia kuwa wana wa israel walichukua muda wa miaka 40 kufika nchi ya ahadi wakitokea utumwani misri. Hapa najiuliza sana. Miaka 40 kutoka hapo kairo kwenda yerusalemu?
Mbona ni miaka mingi sana? Au walikuwa hawajui njia? Mimi napata mashaka, miaka waliyokuwa wanahesabu cyo hii tunayohesabu sisi.
Hivi kuna umbali gani kutoka misri (cairo) kwenda israel (yerusalemu)?
====
Yericko Nyerere
Huwa nasoma maandiko yote yaliyombele yangu, yawe ya wasomi na wanamajumui ama ya wajinga na yakijinga, mimi husoma tu. Hii imenipa uwezo na ujasiri wakuyajua mambo mengi yaliyohifadhiwa kwa maandishi,
Lakini kuna jambo hakika kwa miaka mingi nimekuwa nikiumiza akili yangu bila kupata jibu, nimejaribu kuzama kiroho imeshindikana, nimejaribu kuzama kihistoria imeshindikana,
Umbali kati ya Misri na Israel ni km 613, kwamjibu wa Biblia inasema wana wa Israel walisafiri kwa miaka 40, inamana kila siku walisafiri mita 43?
Mafanikio ya binadamu duniani hutazamiwa afikapo miaka 18-40. Inaelezwa kwamba huo ndio mwenendo pia wa mafanikio ya taifa.
Wanamajumui wanasema ukizidi umri huo wewe uwe unatafuta hela ya kula tu, utajiri na hekima utavisikia tu
Wachungaji naomba msaada wa ufunuo hapa hapa.
![]()
Tabia gani??Walitumia muda mrefu ili waachane kabisa na tabia walizozizoea za misri, na hawakujichagulia njia ya kupita ila waliongozwa na Mungu mwenyewe...
...kumbe ndo maana walitumia miaka 40...walikuwa wanagonga hadi kutiana mimba...kwa hiyo walikuwa pia wanakaa kulea...by the way jangwani hakuna nyumba walikuwa wanagongania wapi!!Hahaa haah ahaa! Mkuu lyinga umenichekesha sana. We unadhani walikuwa wanafanya nini miaka yote hiyo njiani.
Eti kama kulikuwa na mama mjamzito, then akajifungua alikuwa na uwezekano wa kupata mjukuu akiwa safarini .emegine!
Kumbukumbu la Torati 8 (Biblia Takatifu)Tunasoma katika bibilia kuwa wana wa israel walichukua muda wa miaka 40 kufika nchi ya ahadi wakitokea utumwani misri. Hapa najiuliza sana. Miaka 40 kutoka hapo kairo kwenda yerusalemu?
Mbona ni miaka mingi sana? Au walikuwa hawajui njia? Mimi napata mashaka, miaka waliyokuwa wanahesabu cyo hii tunayohesabu sisi.
Hivi kuna umbali gani kutoka misri (cairo) kwenda israel (yerusalemu)?
====
Yericko Nyerere
Huwa nasoma maandiko yote yaliyombele yangu, yawe ya wasomi na wanamajumui ama ya wajinga na yakijinga, mimi husoma tu. Hii imenipa uwezo na ujasiri wakuyajua mambo mengi yaliyohifadhiwa kwa maandishi,
Lakini kuna jambo hakika kwa miaka mingi nimekuwa nikiumiza akili yangu bila kupata jibu, nimejaribu kuzama kiroho imeshindikana, nimejaribu kuzama kihistoria imeshindikana,
Umbali kati ya Misri na Israel ni km 613, kwamjibu wa Biblia inasema wana wa Israel walisafiri kwa miaka 40, inamana kila siku walisafiri mita 43?
Mafanikio ya binadamu duniani hutazamiwa afikapo miaka 18-40. Inaelezwa kwamba huo ndio mwenendo pia wa mafanikio ya taifa.
Wanamajumui wanasema ukizidi umri huo wewe uwe unatafuta hela ya kula tu, utajiri na hekima utavisikia tu
Wachungaji naomba msaada wa ufunuo hapa hapa.
![]()
Unaweza tembea dar to moshi bila kupumzika sehemu yeyotee ? Elewa neno kupumzika , hiyo miguu itakuwaj kama unatembea bila mapumziko ? Kama umeelewa utaacha kuuliza maswali ya kipuuz , kwenye watu zaid ya 100 lzm Kuna sehemu mtahitaj kupumzika ili muwe fit kuendele na safariTunasoma katika bibilia kuwa wana wa israel walichukua muda wa miaka 40 kufika nchi ya ahadi wakitokea utumwani misri. Hapa najiuliza sana. Miaka 40 kutoka hapo kairo kwenda yerusalemu?
Mbona ni miaka mingi sana? Au walikuwa hawajui njia? Mimi napata mashaka, miaka waliyokuwa wanahesabu cyo hii tunayohesabu sisi.
Hivi kuna umbali gani kutoka misri (cairo) kwenda israel (yerusalemu)?
====
Yericko Nyerere
Huwa nasoma maandiko yote yaliyombele yangu, yawe ya wasomi na wanamajumui ama ya wajinga na yakijinga, mimi husoma tu. Hii imenipa uwezo na ujasiri wakuyajua mambo mengi yaliyohifadhiwa kwa maandishi,
Lakini kuna jambo hakika kwa miaka mingi nimekuwa nikiumiza akili yangu bila kupata jibu, nimejaribu kuzama kiroho imeshindikana, nimejaribu kuzama kihistoria imeshindikana,
Umbali kati ya Misri na Israel ni km 613, kwamjibu wa Biblia inasema wana wa Israel walisafiri kwa miaka 40, inamana kila siku walisafiri mita 43?
Mafanikio ya binadamu duniani hutazamiwa afikapo miaka 18-40. Inaelezwa kwamba huo ndio mwenendo pia wa mafanikio ya taifa.
Wanamajumui wanasema ukizidi umri huo wewe uwe unatafuta hela ya kula tu, utajiri na hekima utavisikia tu
Wachungaji naomba msaada wa ufunuo hapa hapa.
![]()
Watumishi wa Mungu wanavyoelezea hili hua wanasema watu wa zamani walikua na nguvu sana..Unaweza tembea dar to moshi bila kupumzika sehemu yeyotee ? Elewa neno kupumzika , hiyo miguu itakuwaj kama unatembea bila mapumziko ? Kama umeelewa utaacha kuuliza maswali ya kipuuz , kwenye watu zaid ya 100 lzm Kuna sehemu mtahitaj kupumzika ili muwe fit kuendele na safari
ungejikalia kimya ungepungukiwa nnMisri ya Leo sio Misri ya enzi za Musa, pia haimaanishi kuwa walikuwa wakisafiri kwa miaka yote hiyo, Kuna process kuweza kuachiliwa kutoka mtumwa hadi kwa huru
Soma Biblia yako vizuri,kuna sehemu walikuwa wanaweka vituo na wanakaa kwa miaka kadhaa kabla ya kuanza tena safari...Tunasoma katika bibilia kuwa wana wa israel walichukua muda wa miaka 40 kufika nchi ya ahadi wakitokea utumwani misri. Hapa najiuliza sana. Miaka 40 kutoka hapo kairo kwenda yerusalemu?
Mbona ni miaka mingi sana? Au walikuwa hawajui njia? Mimi napata mashaka, miaka waliyokuwa wanahesabu cyo hii tunayohesabu sisi.
Hivi kuna umbali gani kutoka misri (cairo) kwenda israel (yerusalemu)?
====
Yericko Nyerere
Huwa nasoma maandiko yote yaliyombele yangu, yawe ya wasomi na wanamajumui ama ya wajinga na yakijinga, mimi husoma tu. Hii imenipa uwezo na ujasiri wakuyajua mambo mengi yaliyohifadhiwa kwa maandishi,
Lakini kuna jambo hakika kwa miaka mingi nimekuwa nikiumiza akili yangu bila kupata jibu, nimejaribu kuzama kiroho imeshindikana, nimejaribu kuzama kihistoria imeshindikana,
Umbali kati ya Misri na Israel ni km 613, kwamjibu wa Biblia inasema wana wa Israel walisafiri kwa miaka 40, inamana kila siku walisafiri mita 43?
Mafanikio ya binadamu duniani hutazamiwa afikapo miaka 18-40. Inaelezwa kwamba huo ndio mwenendo pia wa mafanikio ya taifa.
Wanamajumui wanasema ukizidi umri huo wewe uwe unatafuta hela ya kula tu, utajiri na hekima utavisikia tu
Wachungaji naomba msaada wa ufunuo hapa hapa.
![]()
Kumbe muuaji alafu anasema kuua dhambi.Nyie watu kwa nini hamtumii akili kuchanganua mambo???
Hivi kweli hilo ni jambo la kukusumbua akili???
Summary ya historia:
Waisrael walitoka misri mpaka mpakani kuingia kanani kwa mda mfupi tu.
Walipofika pale walipeleka wapelelezi 12 kuchunguza hio nchi. Wapelelezi wakarudisha taarifa za kuleta taharuki. Watu wakagoma kuendelea na safari wakataka kurudi misri.
Mungu alikasirika na aliwapa adhabu ya kuzunguka jangwani miaka 40 yaani ili wote waliotoka misri waishi na kufa na watoto wao ndio waingie nchi ya ahadi.
Kwa hio ilikua wanatoka hapa wanaenda pale wanarudi kule!!! Mpaka miaka 40 ilipotimia ndipo watoto wa wale waliotoka misri wakaingia nchi ya ahadi wakianza na Yeriko!!!
Someni basi Biblia yote. Kama vipi soma kitabu cha kutoka na kumbukumbu hizi habari utazipata. Usisome mstari mmoja tu kisha ukaacha utapata shida sana na manabii wa uongo watakupepeta kama ngano!!
Tunasoma katika bibilia kuwa wana wa israel walichukua muda wa miaka 40 kufika nchi ya ahadi wakitokea utumwani misri. Hapa najiuliza sana. Miaka 40 kutoka hapo kairo kwenda yerusalemu?
Mbona ni miaka mingi sana? Au walikuwa hawajui njia? Mimi napata mashaka, miaka waliyokuwa wanahesabu cyo hii tunayohesabu sisi.
Hivi kuna umbali gani kutoka misri (cairo) kwenda israel (yerusalemu)?
====
Yericko Nyerere
Huwa nasoma maandiko yote yaliyombele yangu, yawe ya wasomi na wanamajumui ama ya wajinga na yakijinga, mimi husoma tu. Hii imenipa uwezo na ujasiri wakuyajua mambo mengi yaliyohifadhiwa kwa maandishi,
Lakini kuna jambo hakika kwa miaka mingi nimekuwa nikiumiza akili yangu bila kupata jibu, nimejaribu kuzama kiroho imeshindikana, nimejaribu kuzama kihistoria imeshindikana,
Umbali kati ya Misri na Israel ni km 613, kwamjibu wa Biblia inasema wana wa Israel walisafiri kwa miaka 40, inamana kila siku walisafiri mita 43?
Mafanikio ya binadamu duniani hutazamiwa afikapo miaka 18-40. Inaelezwa kwamba huo ndio mwenendo pia wa mafanikio ya taifa.
Wanamajumui wanasema ukizidi umri huo wewe uwe unatafuta hela ya kula tu, utajiri na hekima utavisikia tu
Wachungaji naomba msaada wa ufunuo hapa hapa.
![]()
Hata kama wangekuwa wanatembea kwa masaa 6 kisha kupumzika mpaka siku ingine inaanza ndio wachukue miaka 40?Unaweza tembea dar to moshi bila kupumzika sehemu yeyotee ? Elewa neno kupumzika , hiyo miguu itakuwaj kama unatembea bila mapumziko ? Kama umeelewa utaacha kuuliza maswali ya kipuuz , kwenye watu zaid ya 100 lzm Kuna sehemu mtahitaj kupumzika ili muwe fit kuendele na safari