Umbo la mke wangu limebadilika baada ya kujifungua

gwego1

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2023
Posts
265
Reaction score
897
Ni mwaka Sasa tangia mke wangu ajifungue lakini umbo lake limeongezeka amekuwa mnene kweli.

Ndugu zangu nyie mliwezaje ku handle hii kitu. Mimi huyu sahivi hanivutii kabisa kwa huu unene!

Mtu unamuoa akiwa mwembamba lakin mara pap hyu hapa anakuwa bonge.

Inasikitisha kwakweli.
 
Ni mwaka Sasa tangia mke wangu ajifungue lakini umbo lake limeongezeka amekuwa mnene kweli.
Ndugu zangu nyie mliwezaje ku handle hii kitu. Mimi huyu sahv hanivutii kabisa kwa huu unene!

Kama hakuvutii niachie mimi, napenda wa hivyo.
We katafute kimbaombao kingine.
Namba zangu nimeku pm,
 
Hapo bado hajanenepa mbona akifikisha watoto watatu utashangaa.

Ni bora azae kabisa idadi ya watoto mnaotaka kisha ndio ajipunguze mwili, mkipunguza sasa atazaa tena mnarudi kule kule..

Kuna watu wanaweza kucontrol unene baada ya uzazi wengine hawawezi
 
Wewe mbona km soda imeisha gesi? 😹

Uko sawa kweli?? Ulivyomkojolea mishahawa yako ulitegemea abaki hivo hivo??

Sasa subiri huyo mtoto aanze shule, majukumu yaongezeke uone utakavyopunyuka km wasomali wa mogadishu 🤣😹😹
 
Msimange na maneno kuhusu mwili wake
Mengine chakula au mpe kidogo
Mcheat ajue
Mwambie nahisi huyu mtoto sio wangu
Mwambie kwanza nilikuonea huruma ndio maana nikakuoa wala sikukupenda
Akikosea kidogo mtukane na utaje unene wake
Usilale naye kitanda kimoja lala sebuleni mwambie unene wake unamaliza space
Waambie kaka zako na dada zako wawe wanampigia mafumbo ya mwili wake wakija kukusalimia wamuite hata simtank

Hayo niliyokwambia mkuu lazima apungue arudi kwenye mwili wake fanya hivyo utakuja kunishukuru
 
Ni mwaka Sasa tangia mke wangu ajifungue lakini umbo lake limeongezeka amekuwa mnene kweli.
Ndugu zangu nyie mliwezaje ku handle hii kitu. Mimi huyu sahv hanivutii kabisa kwa huu unene!

Mtu unamuoa akiwa mwembamba lakin mara pap hyu hapa anakuwa bonge.

Inasikitisha kwakweli.
Umezidisha matunzo..
Mnyanyase kidogo atapungua
 
Msimange na maneno kuhusu mwili wake
Mengine chakula au mpe kidogo
Mcheat ajue
Mwambie nahisi huyu mtoto sio wangu
Mwambie kwanza nilikuonea huruma ndio maana nikakuoa wala sikukupenda
Akikosea kidogo mtukane na utaje unene wake
Usilale naye kitanda kimoja lala sebuleni mwambie unene wake unamaliza space
Waambie kaka zako na dada zako wawe wanampigia mafumbo ya mwili wake wakija kukusalimia wamuite hata simtank

Hayo niliyokwambia mkuu lazima apungue arudi kwenye mwili wake fanya hivyo utakuja kunishukuru
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wamuite simtank
 
Aisee 🙌

1738064100949.jpg
 
Back
Top Bottom