majam19
JF-Expert Member
- Nov 13, 2024
- 900
- 971
Hapa inadhihilisha kuwa hukumpenda mkewe ila Kuna kitu ulipenda sasaiv hukioni ndyo maana humtakiNi mwaka Sasa tangia mke wangu ajifungue lakini umbo lake limeongezeka amekuwa mnene kweli.
Ndugu zangu nyie mliwezaje ku handle hii kitu. Mimi huyu sahivi hanivutii kabisa kwa huu unene!
Mtu unamuoa akiwa mwembamba lakin mara pap hyu hapa anakuwa bonge.
Inasikitisha kwakweli.
Yaan unaishi na mwanamke katika stage ya pili ya mahusiano "power struggle" huna maarifa ya ndoa kabisa unatakiwa ujue kuhandle ya mwenzio