Kama hakuvutii niachie mimi, napenda wa hivyo.Ni mwaka Sasa tangia mke wangu ajifungue lakini umbo lake limeongezeka amekuwa mnene kweli.
Ndugu zangu nyie mliwezaje ku handle hii kitu. Mimi huyu sahv hanivutii kabisa kwa huu unene!
Mtu unamuoa akiwa mwembamba lakin mara pap hyu hapa anakuwa bonge.
Inasikitisha kwakweli.
Umezidisha matunzo..Ni mwaka Sasa tangia mke wangu ajifungue lakini umbo lake limeongezeka amekuwa mnene kweli.
Ndugu zangu nyie mliwezaje ku handle hii kitu. Mimi huyu sahv hanivutii kabisa kwa huu unene!
Mtu unamuoa akiwa mwembamba lakin mara pap hyu hapa anakuwa bonge.
Inasikitisha kwakweli.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Msimange na maneno kuhusu mwili wake
Mengine chakula au mpe kidogo
Mcheat ajue
Mwambie nahisi huyu mtoto sio wangu
Mwambie kwanza nilikuonea huruma ndio maana nikakuoa wala sikukupenda
Akikosea kidogo mtukane na utaje unene wake
Usilale naye kitanda kimoja lala sebuleni mwambie unene wake unamaliza space
Waambie kaka zako na dada zako wawe wanampigia mafumbo ya mwili wake wakija kukusalimia wamuite hata simtank
Hayo niliyokwambia mkuu lazima apungue arudi kwenye mwili wake fanya hivyo utakuja kunishukuru
Msimange na maneno kuhusu mwili wake

Amehitaji ushauri . Tumempa ushauri wa haraka meal planning , exercise na ozempic zinachukua mdaAisee 🙌