Umbo la mke wangu limebadilika baada ya kujifungua

Hapa inadhihilisha kuwa hukumpenda mkewe ila Kuna kitu ulipenda sasaiv hukioni ndyo maana humtaki

Yaan unaishi na mwanamke katika stage ya pili ya mahusiano "power struggle" huna maarifa ya ndoa kabisa unatakiwa ujue kuhandle ya mwenzio
 
Na bado. Kuna vitu vingi vitabadirika. Usipokuwa mwanaume anayefaa kuwa mume utamchukia sana maana muda si mrefu hata chuchu zitakuwa kama malapa. Kiuno kama kiboko vimeungana na shingo.

Unapooa jua mwanamke akizaa kutakuwa na mabadiriko
 
we Jamaa kweli mswahili wa manzese, tip top ehh!
 
Amekuwa kama kiboko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…