Ume save vipi jina la mkeo/mumeo/mpenzi kwenye simu yako

Sasa mimi Sina mpnzi wala mwandani nawezaje kusavi madanga
 
Nadhani suala la namna ya kuseviwa kwenye Kitabu cha Majina ya kwenye simu inaendana na Umri pia

Mkiwa kwenye 20-35 utakutana na Majina mazuri mazuri tu kama Sweetie/Honey/my everything n.k

Mkiwa mwenye 35-45 utakutana na Majina ya Wife/Husband

Mkiwa above 45 utakutana na Majina ya Mama Nanii/Baba nanii/Jina lako full yaani kama ni Grahams ama Nikifa MkeWangu Asiolewe

Kama mna Wazee wenu nyumbani nenda ushike simu ya Baba/Mama yako then jaribu kuipiga namba ya Baba/Mama yako utaona jina linalotoka

Kwasasa Vijana furahieni Majina mazuri mazuri mliyoseviwa ila baada ya kuishi ndoani miaka 10/20/30 ya Ndoa utakuja kuona utakavyokuwa umeseviwa
 
Personally first date huwa namsave "stranger"
Kadri wanavyoongezeka ndo huwa wanapewa namba.utakuta
Stranger 1
Stranger 2
Ilikuwa mpaka stranger 8


Akikaa miez sita tuko kwa pamoja nambadilisha na kumuita
Volume 1
Volume 2
Nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…