Umeamua kufunga Kwa hiari yako, kwanini ukasirike sisi tukiwa tunakula?

Umeamua kufunga Kwa hiari yako, kwanini ukasirike sisi tukiwa tunakula?

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Mimi siamini unachokiamini, unataka nisile ati kwakuwa wewe umefunga mara ooooh nisile hadharani, yaani nilie chumbani au kichakani kama nafanya ngono

Unakuta mtu saa 9 kalegea kama msusa, mishipa usoni imemtoka, macho yamelegea na kujaaa tongo tongo, mdomo unapasuka ila ananuna tukiwa tunalumbua diko na vyakula
Kwani umelazimishwa?

Nasikia huko Zanzibar Huwa wanatembeza mboko

Sasa nataka niende Zanzibar nikalie pale Forodhani mishikaki yangu ya kitimoto

Unakutana na kamtu na ndevu zake mchana saa 9 upo unalumbua mishikaki ya jogoo au kitimoto kanachukia ati unakaharibia swaumu.

Sasa Mimi swaumu yako inanihusu Nini?

Umejitakia mwenyewe kufunga Kwa Imani yako basi wajibika na njaa yako ya kujitakia usitake watu tuache maisha yetu tufunge
 
Sio kweli mkuu..
Migahawa,cafe,hotel,motel mbona zinapga kazi na watu wanakula..
Halafu sio wote waislamu wanafunga
Kama ulikuwa hujui leo Kuna taarifa sijui mkuu wa nini huko alipo zenji kakamata watu waliokuwa wanajilia kilaji kwa raha zao chimbo

Tena media zinashabokia upumbavu Eti kachelewa kuchukua hatua mapema serious.!

Itoshe kusema Dini ni ugonjwa wa akili uliozoeleka

Mpumbavu anafanya upumbavu mbele ya mapumbavu nao wanashabikia upumbavu

Yana laana majinga haya
 
Kama huyo baba rama arusha kafunga lakini Kila siku anawalawiti watoto wake wa kike mmoja miaka sita mwingine miezi sita ...na kafunga huyo🤔
Hii ni kweli ama umehadithiwa Mjukuu?

Inakuwaje Mwanaume na akili zako uwalawiti watoto zako wa damu tena mwingine wa miezi 6🙌

Hii Dunia ilipofikia, itafanya Wanaume wote tuonekane hazijaenea kichwani kutokana na ufirauni wa wenzetu 🥲
 
Hii ni kweli ama umehadithiwa Mjukuu?

Inakuwaje Mwanaume na akili zako uwalawiti watoto zako wa damu tena mwingine wa miezi 6🙌

Hii Dunia ilipofikia, itafanya Wanaume wote tuonekane hazijaenea kichwani kutokana na ufirauni wa wenzetu 🥲
ila babu sasa nani kakwambia huyo ni mjukuu wako? je kama ni mkubwa mwenzio🤭🤣
 
Kuna mstari kwenye Biblia unasema, unapotoa sadaka kwa mkono wa kulia, basi jitahidi mkono wa kushoto usijue 🙌

Vile vile unapofunga, jitahidi hata majirani zako wasijue kuwa upo kwenye mfungo

Kwa maana hiyo, kama Mama amefunga basi anaweza kuwapikia watoto zake chakula Wakala pasipo kuwalazimisha nao wafunge

Kinachotokea huko Zanzibar, ni kama kulazimisha wote wafunge pasipo kujali maandiko ya mitume wetu
 
ila babu sasa nani kakwambia huyo ni mjukuu wako? je kama ni mkubwa mwenzio🤭🤣
Hivi si unajua Babu yenu nina Presha, mbona umeniambia kwa sauti hivyo 🤪

Hata hivyo, wengi humu hawajanifikia umri wangu

Si unajua nipo rika la Mzee Wassira
 
Wanataka na wengine wafunge kinafiki kama wao
Mwaka una miezi 12 unachagua mmoja wa kuheshimu Mungu.! Hivi kichwani zimo hawa

Hata balance hawajui

Najua wanaweza kutetea Ooh sijui ndio mana tunaueshimu sana blah blah

Ila wajue tu uwanja wa fisi K mboka hakujapoa hata kama uyo Mungu anaheshimiwa

Kama huyo Mungu anahuruma na muweza yote alitakiwa azuie hata mapema kabla ya Kiki za sijui inayoitwa ramadhani
 
Hivi si unajua Babu yenu nina Presha, mbona umeniambia kwa sauti hivyo 🤪

Hata hivyo, wengi humu hawajanifikia umri wangu

Si unajua nipo rika la Mzee Wassira
haya babu, ndo umuite huyo mjukuu wako aje kutueleza kuhusu mzee rama,, sema kati ya vitu ambavyo sipendi kuvifanya kwenye maisha yangu ni kumhukumu mtu au kumsema mtu bila kuwa na ushahidi

upunguze kudeka😆😆 we umejuaje kama nimeongea kwa sauti wakati ujumbe umefika kwa maandishi
 
Back
Top Bottom