ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,787
- 131,638
Nimekuonea wivu ghafla mzee mwenzangu, uzuri kuvuta kiko hakutaki haraka😅😅Haha......nimeshathibitisha tayari, hapa nasubiri kuletewa Kiko tu
Na hivi nina arosto ya muda mrefu, Mjukuu atakuwa amefanya vizuri sana kuniletea Kiko ya moto 🤗