Umeamua kufunga Kwa hiari yako, kwanini ukasirike sisi tukiwa tunakula?

Umeamua kufunga Kwa hiari yako, kwanini ukasirike sisi tukiwa tunakula?

Ni laZima Kwa waislam
Waislam walioamini ndo wanatakiwa kufanya hiyo ibada ya kufunga
Kufunga ni ibada ya mtu na Mungu sio kulazimishana
Sasa mbona umesema wamefunga wenyewe kwa hiyari badili andiko lako
 
Juzi tumeenda sehem hapa hapa zanzibar tukaingia kula ati mwene hotel anatupanga akiogopa ni kama anatuuzia cocaine mbona ilibidi acheke tu mimi nilichukua sahan yangu nkatoka nayo nje jamaa na ndevu zao kama panya alodumbukia ndan ya maji wakiniangalia kumaliza mwingne anakuja ati bro hujatutendea haki kula mbele yetu. Hapo hapo nkamuuliza ulitaka nile nyuma yenu niliwachamba hadi polisi wakaja nao wakawa waelewa mbona jamaa walitoka wakaenda zao ati hawana kazi ya kufanya wanaenda kukaa vibarazan kucheza bao cjui draft. Mara ya mwisho niliwaambia ukifunga kumbuka kufunga macho japo na kitambaa usione watu wakila au jifungie ndani kuliko kujikalisha sehem kwa umbea tu ili kuona watu wanakula mnaanza kutetemeka hapa kama njiwa. Waliowaletea dini ndo hao huko wanatwangana mabomu huko wewe upo hapa na kikanzu chako ati umefunga, umefunga wapi au na masaa ya kula mmebadilisha ukitoka hapa unaenda kula ni kama unataka kufa hutakula tena. Mda huo wamechokeana kama nini cjui.
 
Ni kweli kabisa wananchi wamempa kisago cha kufa mtu
Bora kama walimpa kichapo

Lakini ingefaa pia iwapo angepelekwa kwenye mkono wa sheria

Kwa mujibu wa sheria zetu, Ubakaji na Ulawiti ni kosa kwa mujibu wa sheria
 
Kuna mstari kwenye Biblia unasema, unapotoa sadaka kwa mkono wa kulia, basi jitahidi mkono wa kushoto usijue 🙌

Vile vile unapofunga, jitahidi hata majirani zako wasijue kuwa upo kwenye mfungo

Kwa maana hiyo, kama Mama amefunga basi anaweza kuwapikia watoto zake chakula Wakala pasipo kuwalazimisha nao wafunge

Kinachotokea huko Zanzibar, ni kama kulazimisha wote wafunge pasipo kujali maandiko ya mitume wetu
Sio watoto tu,kuna watu wana hali ngumu kimaisha sasa inatakiwa kile chakula unachokiacha kwa sababu ya kufunga basi wapelekee hao wahitaji.Sasa unakuta limtu linatunza ili ale usiku
 
Sio watoto tu,kuna watu wana hali ngumu kimaisha sasa inatakiwa kile chakula unachokiacha kwa sababu ya kufunga basi wapelekee hao wahitaji.Sasa unakuta limtu linatunza ili ale usiku
Hilo ni agizo kupitia mitume wetu

Kutoa msaada kwa wenye uhitaji

Ukipata nafasi ya kuwapa wenye mahitaji, basi utabarikiwa
 
nimewamiss pia😍 alf nilitaka kushangaa kulikoni maongezi yote haya na hauja mtaja bibi ila saiv nina amani ya moyo😀😀
mpe salamu zangu kabla sijafika
Lazima nimtaje Bibi yenu, maana nyie wajukuu si mmeacha kuniletea Kiko nikiomba 🤪

Mathalani wewe nimekuomba tangu mwaka juzi hujaniletea

Jitahidi this time uniletee, maana hili baridi bila kuvuta Kiko nitakufa Babu yenu
 
Lazima nimtaje Bibi yenu, maana nyie wajukuu si mmeacha kuniletea Kiko nikiomba 🤪

Mathalani wewe nimekuomba tangu mwaka juzi hujaniletea

Jitahidi this time uniletee, maana hili baridi bila kuvuta Kiko nitakufa Babu yenu
say no moo gran pah😅😅😅 nilete saiv au jioni
 
Wazanzibari na Logic!!!

Ni vitu viwili tofauti...

Utawaonea tu!

Huku bara, mama anafunga...

Lakini anaingia jikoni kupikia watoto na wanakula mbele yake...
 
Back
Top Bottom