Umeamua kufunga Kwa hiari yako, kwanini ukasirike sisi tukiwa tunakula?

haya babu, ndo umuite huyo mjukuu wako aje kutueleza kuhusu mzee rama,, sema kati ya vitu ambavyo sipendi kuvifanya kwenye maisha yangu ni kumhukumu mtu au kumsema mtu bila kuwa na ushahidi

upunguze kudeka😆😆 we umejuaje kama nimeongea kwa sauti wakati ujumbe umefika kwa maandishi
Kwa jinsi ninavyo mfahamu huyo Mjukuu, lazima atakuja kuelezea hicho kisa vizuri ili ikiwezekana tukamfundishe adabu huyo Mwanaume mwenzetu

Maana haiingii akilini, kwa Mwanaume timamu akawaka tamaa mbele ya Watoto zake wa damu ama kumwingilia kinyume cha maumbile Mwanaume mwenzake ...

Kuhusu kudeka, sio rahisi kuacha

Maana wajukuu zangu wamenizoesha hivyo

Hapa nilitaka nikuite huku Kijijini uniletee Kiko na unieleze hiyo tabia ya kuwasema Wazee na ukijua tuna Presha imeanza lini

Wakati tangu tunakulea hukuwahi kuwa hivyo 🤗
 
tatizo mababu zetu sikuhizi mnajisahau mnoo tena kuanzia ile siku mmekutana na mama ndo mlizingua kabisa,, bora tuwe tunafoka ili mchangamke kidogo🤸‍♀️😆

anyway kiko nakuletea unieleze mbona ulipotea siku mbili tatu ukatusahau wajukuu zako😒
 
haya babu, ndo umuite huyo mjukuu wako aje kutueleza kuhusu mzee rama,, sema kati ya vitu ambavyo sipendi kuvifanya kwenye maisha yangu ni kumhukumu mtu au kumsema mtu bila kuwa na ushahidi

upunguze kudeka😆😆 we umejuaje kama nimeongea kwa sauti wakati ujumbe umefika kwa maandishi
😅😅
 
Hapa hz mbuzi zinakera sana
-kuna mmoja kaniuliza mbona we ni muanglikana na hujafunga...nikamjibu mimi ni babako nitafunga kwa wakati wangu.

Ukimtongoza demu, anakuambia subiri tufungue.. Uchafu mtupu.
🤣🤣 So unataka papuchi hivyo hivyo hata kama kafunga !?
 
tatizo mababu zetu sikuhizi mnajisahau mnoo tena kuanzia ile siku mmekutana na mama ndo mlizingua kabisa,, bora tuwe tunafoka ili mchangamke kidogo🤸‍♀️😆

anyway kiko nakuletea unieleze mbona ulipotea siku mbili tatu ukatusahau wajukuu zako😒
Uwe na huruma na Wazee Mjukuu 🤪

Fanya mpango uniletee na hiyo Kiko kwa kweli, maana sio kwa arosto hii niliyonayo Babu yenu

Usisahau nipo na hadithi nyingi za mwaka 47 nimejiandaa kukusimulia 🤗
 
Kuna dada hapa jirani muisilam naona anapiga ubweche namuuliza kwann unakula!? kasema et nnamatatizo kiafya
Atakuwa yupo katika hedhi
Akiwa katika hedhi haruhusiwi kufunga
 
Uwe na huruma na Wazee Mjukuu 🤪

Fanya mpango uniletee na hiyo Kiko kwa kweli, maana sio kwa arosto hii niliyonayo Babu yenu

Usisahau nipo na hadithi nyingi za mwaka 47 nimejiandaa kukusimulia 🤗
ziwe za kufurahisha tu sitaki story za majonzi tena, nimechoka kutoa machozi mwanzo mpka mwisho wa story😄😄😄

ngoja nikubebee na kuni za kuotesha moto usije upatwa na nimonia🤗
 
Angalizo nimezingatia Mjukuu, nitakusimulia hadithi nzuri tupu

Nina kisa cha kumfukuzia binti wa yule Gavana wa mwisho wa Uingereza Nchini Tanganyika, mwaka mmoja kabla hatujapata Uhuru 🤪

Sijui kama utalala kwa wingi wa story

Nasubiri na hizo Kuni, maana baridi lilipo huku sio la kawaida 🤗
 
Back
Top Bottom