Umeamua kufunga Kwa hiari yako, kwanini ukasirike sisi tukiwa tunakula?

Umeamua kufunga Kwa hiari yako, kwanini ukasirike sisi tukiwa tunakula?

Mimi siamini unachokiamini, unataka nisile ati kwakuwa wewe umefunga mara ooooh nisile hadharani, yaani nilie chumbani au kichakani kama nafanya ngono

Unakuta mtu saa 9 kalegea kama msusa, mishipa usoni imemtoka, macho yamelegea na kujaaa tongo tongo, mdomo unapasuka ila ananuna tukiwa tunalumbua diko na vyakula
Kwani umelazimishwa?

Nasikia huko Zanzibar Huwa wanatembeza mboko

Sasa nataka niende Zanzibar nikalie pale Forodhani mishikaki yangu ya kitimoto

Unakutana na kamtu na ndevu zake mchana saa 9 upo unalumbua mishikaki ya jogoo au kitimoto kanachukia ati unakaharibia swaumu.

Sasa Mimi swaumu yako inanihusu Nini?

Umejitakia mwenyewe kufunga Kwa Imani yako basi wajibika na njaa yako ya kujitakia usitake watu tuache maisha yetu tufunge
Unapokuja Zanzibar fuata taratibu za watu uliowakuta kwasababu na sie hatukukulazimisha kuja huku na Ukafir wako
La sivyo bakini huko bara giza
 
Angalizo nimezingatia Mjukuu, nitakusimulia hadithi nzuri tupu

Nina kisa cha kumfukuzia binti wa yule Gavana wa mwisho wa Uingereza Nchini Tanganyika, mwaka mmoja kabla hatujapata Uhuru 🤪

Sijui kama utalala kwa wingi wa story

Nasubiri na hizo Kuni, maana baridi lilipo huku sio la kawaida 🤗
yani nishaanza kucheka hata kabla simulizi haijaanza 😆😆😆 na unavyojua kupangilia hadithi zako uwih 🤭 hebu nisichelewe 💃
 
Jamii gani? Maana nanyinyi makafiri wachambia tishu mmefunga pia?
Wenzako wananijua
Mziki wangu Huwa hawawezi
Ukija kichwa kichwa utatoka hapo usahau kufakamia daku yako ya makande
 
usichoke kumtafuta huko DM ipo siku atakujibu labda majukumu ni mengiiii

ni pisi kweli kajaaliwa rangi, sura mpka mshepu nishamuona Kule selfika kitambo lakini
Kama yupo Dar Nina offer yake ya 500k one night stand
Me sitaki mambo mengi
 
Mwaka una miezi 12 unachagua mmoja wa kuheshimu Mungu.! Hivi kichwani zimo hawa

Hata balance hawajui

Najua wanaweza kutetea Ooh sijui ndio mana tunaueshimu sana blah blah

Ila wajue tu uwanja wa fisi K mboka hakujapoa hata kama uyo Mungu anaheshimiwa

Kama huyo Mungu anahuruma na muweza yote alitakiwa azuie hata mapema kabla ya Kiki za sijui inayoitwa ramadhani
Waislamu wanakuambia mwezi wa Ramadhani ni mwezi wa toba, ila miezi mingn yote 11 ni miezi ya maovu tuu 🔥
 
Yaani mtu anakula saa moja usiku,kisa anakula saa 10 alfajiri anapataje njaa kama sio unafiki tu? Ni masaa 12 ya kutokula yakutoe mimacho na ulendemke? Wafungaji mnatuudhi.
 
Wenzako wananijua
Mziki wangu Huwa hawawezi
Ukija kichwa kichwa utatoka hapo usahau kufakamia daku yako ya makande
Kwamba unakatika kiuno kama mwali wa kimakonde? Mi nitakumudu bibie! Hao hawakuwezi madhaifu
 
Zanzibar ni Iran kule ila majuzi mwezi huyu mtukufu wamewakamata watu wakipajuana kisavu cha kopo mmoja mchaga mwengine ni mzawa wa huko huko
 
Back
Top Bottom