Umeamua kufunga Kwa hiari yako, kwanini ukasirike sisi tukiwa tunakula?

Umeamua kufunga Kwa hiari yako, kwanini ukasirike sisi tukiwa tunakula?

nikipanda gari nitachelewa babu labda uongeze ka samsingi nichukue boda ya pekeangu, dakika 0 nipo hapo mlangoni na kiko cha motrooo nikifika tu unaanza kuvuta 🤸‍♀️🙃
Haya jiandae Mjukuu, nipe maelekezo ili nimtume Wakala atekeleze hilo ombi lako

Ni furaha kuvuta Kiko ya Mjukuu wangu leo 🤗
 
Kuna namna Wakristo mnateseka sana na habari za waislamu 🤔
Kuna wakati wanazingua kweli, mtu anakuja live anakuhoji, mbona wewe hufungi, kwani dini gani wenzako wote wamefunga? Kwa nini unakuwa kobe, juzi kuna jamaa aliniuliza..jibu nililompa sidhani kama atarudia kuuliza ujinga.

Mambo ya kiimani watu wanayabeba kimwili, funga is between individual with his God, wengine wala haituhusu.
 
Haya jiandae Mjukuu, nipe maelekezo ili nimtume Wakala atekeleze hilo ombi lako

Ni furaha kuvuta Kiko ya Mjukuu wangu leo 🤗
Hapa sasa naelewa una maanisha nini ukisema uletewe kiko, tena hapo mjukuu kasema analeta cha "moto"😅😅😅
Mzee mwenzangu uko vizuri...
 
Haya jiandae Mjukuu, nipe maelekezo ili nimtume Wakala atekeleze hilo ombi lako

Ni furaha kuvuta Kiko ya Mjukuu wangu leo 🤗
mi niko tayali babu nasubiri tu "imethibitishwa mengine yatakufurahisha zaidi maana kwenye hiki kiko sijaweka tumbaku pekeake ilaa nimechanganya na udamvu udamvu wa kutosha mpka useme I surrender 😄😄😄😄🤭
 
Uislamu ni dini ya unafiki
Kaangalie wauza madawa kina nani
 
Mimi siamini unachokiamini, unataka nisile ati kwakuwa wewe umefunga mara ooooh nisile hadharani, yaani nilie chumbani au kichakani kama nafanya ngono

Unakuta mtu saa 9 kalegea kama msusa, mishipa usoni imemtoka, macho yamelegea na kujaaa tongo tongo, mdomo unapasuka ila ananuna tukiwa tunalumbua diko na vyakula
Kwani umelazimishwa?

Nasikia huko Zanzibar Huwa wanatembeza mboko

Sasa nataka niende Zanzibar nikalie pale Forodhani mishikaki yangu ya kitimoto

Unakutana na kamtu na ndevu zake mchana saa 9 upo unalumbua mishikaki ya jogoo au kitimoto kanachukia ati unakaharibia swaumu.

Sasa Mimi swaumu yako inanihusu Nini?

Umejitakia mwenyewe kufunga Kwa Imani yako basi wajibika na njaa yako ya kujitakia usitake watu tuache maisha yetu tufunge
Dhawabu kwa Mungu hupewa wale waliofunga kwa furaha pasipokujali jirani yake anakula mlangoni pake.Endapo nafsi yake inatamani kula kwa sababu jirani anakula,Hugo hajafunga bali anashinda na njaa
 
Hapa sasa naelewa una maanisha nini ukisema uletewe kiko, tena hapo mjukuu kasema analeta cha "moto"😅😅😅
Mzee mwenzangu uko vizuri...
Hahah........Mzee mwenzangu huu ni utani wa Babu na Mjukuu tu

Si unajua Wazee hatuwezi kukaa muda mrefu bila kuvuta Kiko 😅
 
Hahah........Mzee mwenzangu huu ni utani wa Babu na Mjukuu tu

Si unajua Wazee hatuwezi kukaa muda mrefu bila kuvuta Kiko 😅
😅😅😅sasa fanya uthibitishe ili mjukuu akuletee kile cha moto kabisa, hakika siku yako itaisha vyema sana!! Na hawa GenZ hakika moshi utaultolea mdomoni na puani😅😅😅
 
mi niko tayali babu nasubiri tu "imethibitishwa mengine yatakufurahisha zaidi maana kwenye hiki kiko sijaweka tumbaku pekeake ilaa nimechanganya na udamvu udamvu wa kutosha mpka useme I surrender 😄😄😄😄🤭
Hapo uliposema utaongeza udambwi dambwi kwenye Kiko umefanya nimpigie Wakala aongeze nyingine ya juu

Hiyo Kiko inaonekana itakuwa na ladha sana, huenda ikawa ni Kiko yenye ladha kuliko zote tangu nianze kuvuta mwaka 47 🤗
 
Dhawabu kwa Mungu hupewa wale waliofunga kwa furaha pasipokujali jirani yake anakula mlangoni pake.Endapo nafsi yake inatamani kula kwa sababu jirani anakula,Hugo hajafunga bali anashinda na njaa
Sasa elimisheni hizo takataka zenu wasisumbue watu
 
Hapo uliposema utaongeza udambwi dambwi kwenye Kiko umefanya nimpigie Wakala aongeze nyingine ya juu

Hiyo Kiko inaonekana itakuwa na ladha sana, huenda ikawa ni Kiko yenye ladha kuliko zote tangu nianze kuvuta mwaka 47 🤗
haswaaaa sitaki kumaliza maneno babu, mi nataka ukishamaliza kuvuta ndo uanze kutoa sifa za hicho kiko na mchanganyiko wake
wakati huo nitakua pembeni nakupepea taratiiibu ukiwa unashusha pumzi 🥰
 
😅😅😅sasa fanya uthibitishe ili mjukuu akuletee kile cha moto kabisa, hakika siku yako itaisha vyema sana!! Na hawa GenZ hakika moshi utaultolea mdomoni na puani😅😅😅
Haha......nimeshathibitisha tayari, hapa nasubiri kuletewa Kiko tu

Na hivi nina arosto ya muda mrefu, Mjukuu atakuwa amefanya vizuri sana kuniletea Kiko ya moto 🤗
 
Back
Top Bottom