TakbirKama huyo baba rama arusha kafunga lakini Kila siku anawalawiti watoto wake wa kike mmoja miaka sita mwingine miezi sita ...na kafunga huyo🤔
haya kila lenye kheri kwenuNikikuta kama yaliyomo yamo namuongeza cheo anakuwa mke mdogo
hebu usinichekeshe 🤣🤣Inshallah 🙏
Nenda kwa kusaga tv arusha...Kuna kila aina ya ushahidi eeew!ushahidi unao? hebu tupe ABC
Ni kweli kabisa wananchi wamempa kisago cha kufa mtuHii ni kweli ama umehadithiwa Mjukuu?
Inakuwaje Mwanaume na akili zako uwalawiti watoto zako wa damu tena mwingine wa miezi 6🙌
Hii Dunia ilipofikia, itafanya Wanaume wote tuonekane hazijaenea kichwani kutokana na ufirauni wa wenzetu 🥲
Hahahaha nimecheka sana🤣🤣🤣🤣Hii dini ina unafki sana, Mungu gani huyo afurahishwe na matendo ya mtu ndani ya mwezi mmoja?
Umenena vyema mkuuUkiona mtu yoyote aliefunga anakataza wengine wasile hadharani ujue huyo ni mnafiki firauni na msengemsenge tu.
Kwa sababu funga ni kwaajili ya wewe na mungu wako sisi wanadamu haituhusu.
Usengeusenge tu kila sehemu ukifika nimefunga nimefunga
Sahihi kbsa mkuuKuna mstari kwenye Biblia unasema, unapotoa sadaka kwa mkono wa kulia, basi jitahidi mkono wa kushoto usijue 🙌
Vile vile unapofunga, jitahidi hata majirani zako wasijue kuwa upo kwenye mfungo
Kwa maana hiyo, kama Mama amefunga basi anaweza kuwapikia watoto zake chakula Wakala pasipo kuwalazimisha nao wafunge
Kinachotokea huko Zanzibar, ni kama kulazimisha wote wafunge pasipo kujali maandiko ya mitume wetu
Kufunga ni lazima sio hiyari nipe andiko la Quran linalosema kufunga ni hiyariMimi siamini unachokiamini, unataka nisile ati kwakuwa wewe umefunga mara ooooh nisile hadharani, yaani nilie chumbani au kichakani kama nafanya ngono
Unakuta mtu saa 9 kalegea kama msusa, mishipa usoni imemtoka, macho yamelegea na kujaaa tongo tongo, mdomo unapasuka ila ananuna tukiwa tunalumbua diko na vyakula
Kwani umelazimishwa?
Nasikia huko Zanzibar Huwa wanatembeza mboko
Sasa nataka niende Zanzibar nikalie pale Forodhani mishikaki yangu ya kitimoto
Unakutana na kamtu na ndevu zake mchana saa 9 upo unalumbua mishikaki ya jogoo au kitimoto kanachukia ati unakaharibia swaumu.
Sasa Mimi swaumu yako inanihusu Nini?
Umejitakia mwenyewe kufunga Kwa Imani yako basi wajibika na njaa yako ya kujitakia usitake watu tuache maisha yetu tufunge
Hapana jamaa wanaingilia mpaka uhuru wa mtu ambao si kosa kisheriaKuna namna Wakristo mnateseka sana na habari za waislamu 🤔