Kama huyo baba rama arusha kafunga lakini Kila siku anawalawiti watoto wake wa kike mmoja miaka sita mwingine miezi sita ...na kafunga huyo🤔Wanataka na wengine wafunge kinafiki kama wao
ushahidi unao? hebu tupe ABCKama huyo baba rama arusha kafunga lakini Kila siku anawalawiti watoto wake wa kike mmoja miaka sita mwingine miezi sita ...na kafunga huyo🤔
Kama ulikuwa hujui leo Kuna taarifa sijui mkuu wa nini huko alipo zenji kakamata watu waliokuwa wanajilia kilaji kwa raha zao chimboSio kweli mkuu..
Migahawa,cafe,hotel,motel mbona zinapga kazi na watu wanakula..
Halafu sio wote waislamu wanafunga
Hii ni kweli ama umehadithiwa Mjukuu?Kama huyo baba rama arusha kafunga lakini Kila siku anawalawiti watoto wake wa kike mmoja miaka sita mwingine miezi sita ...na kafunga huyo🤔
ila babu sasa nani kakwambia huyo ni mjukuu wako? je kama ni mkubwa mwenzio🤭🤣Hii ni kweli ama umehadithiwa Mjukuu?
Inakuwaje Mwanaume na akili zako uwalawiti watoto zako wa damu tena mwingine wa miezi 6🙌
Hii Dunia ilipofikia, itafanya Wanaume wote tuonekane hazijaenea kichwani kutokana na ufirauni wa wenzetu 🥲
Inasikitisha Kwa kweliHii ni kweli ama umehadithiwa Mjukuu?
Inakuwaje Mwanaume na akili zako uwalawiti watoto zako wa damu tena mwingine wa miezi 6🙌
Hii Dunia ilipofikia, itafanya Wanaume wote tuonekane hazijaenea kichwani kutokana na ufirauni wa wenzetu 🥲
Hivi si unajua Babu yenu nina Presha, mbona umeniambia kwa sauti hivyo 🤪ila babu sasa nani kakwambia huyo ni mjukuu wako? je kama ni mkubwa mwenzio🤭🤣
Mwaka una miezi 12 unachagua mmoja wa kuheshimu Mungu.! Hivi kichwani zimo hawaWanataka na wengine wafunge kinafiki kama wao
Kwa kweli tumefikia hali ya unyama uliopitilizaInasikitisha Kwa kweli
haya babu, ndo umuite huyo mjukuu wako aje kutueleza kuhusu mzee rama,, sema kati ya vitu ambavyo sipendi kuvifanya kwenye maisha yangu ni kumhukumu mtu au kumsema mtu bila kuwa na ushahidiHivi si unajua Babu yenu nina Presha, mbona umeniambia kwa sauti hivyo 🤪
Hata hivyo, wengi humu hawajanifikia umri wangu
Si unajua nipo rika la Mzee Wassira