Nimekuonea wivu ghafla mzee mwenzangu, uzuri kuvuta kiko hakutaki haraka๐ ๐Haha......nimeshathibitisha tayari, hapa nasubiri kuletewa Kiko tu
Na hivi nina arosto ya muda mrefu, Mjukuu atakuwa amefanya vizuri sana kuniletea Kiko ya moto ๐ค
Hapa nimeshapata juice ya baridi ya mchanganyiko wa korosho na tendeNimekuonea wivu ghafla mzee mwenzangu, uzuri kuvuta kiko hakutaki haraka๐ ๐
Kama unavyojua Mjukuu, Wazee ni watu wa kushukuruhaswaaaa sitaki kumaliza maneno babu, mi nataka ukishamaliza kuvuta ndo uanze kutoa sifa za hicho kiko na mchanganyiko wake
wakati huo nitakua pembeni nakupepea taratiiibu ukiwa unashusha pumzi ๐ฅฐ
nafika hapo dakik chache sitaki uendelee kuteseka na hiyo arosto mi gran pa๐คKama unavyojua Mjukuu, Wazee ni watu wa kushukuru
Nami sitaacha kushukuru Kila wakati nitakapokuwa nakivuta Kiko changu
Na hivi umesema unaniletea Kiko Cha moto, mbona natamani ufike hata sasahivi nikianzie ๐ค
win-one zingatia hili๐ ๐Hapa nimeshapata juice ya baridi ya mchanganyiko wa korosho na tende
Kujaribu kupata nguvu ili niweze kuvuta Kiko changu vizuri
Kama ulivyosema Kiko haihitaji haraka wakati wa kuvuta, nami nitajitahidi kuzingatia hilo Mzee mwenzangu
Pamoja na arosto ya muda mrefu niliyonayo, nitajitahidi kuvuta taraatibu kabisa hadi iishe ๐ค
aigoooo๐๐๐ nakaribia babu akeeNdiyo nipo kumsubiria hapa Mjukuu ๐ค
Afadhali unakaribia kufika, walau Presha yangu itashuka nikikuonaaigoooo๐๐๐ nakaribia babu akee
worry not gran paa โบ๏ธ๐ itulize hiyo presha isije ikaharibu mambo๐Afadhali unakaribia kufika, walau Presha yangu itashuka nikikuona
Mambo niyatakayo Babu yako ๐worry not gran paa โบ๏ธ๐ itulize hiyo presha isije ikaharibu mambo๐
Ndio uzime domo lako no evidence no right to talk maana unabwabwaja tuHaitatokea nisome hicho kitu
Kwakuwa umekubali uzi wako hauna uthibitisho wa kimaandiko ufuteSawa mrembo kobazi