Umebahatika kukanyaga ardhi za mikoa mingapi hapa Tanzania?

Simiyu,shinyanga,lindi,mtwara,mbeya,njombe,iringa,mwanza,geita,dodoma, Daresalamu,kagera,Tabora,singida,morogoro,mara. kasikazi bado hata mkoa mmoja
 
1. Arusha (home)
2. Dar (residence)

3. Manyara
4. Kilimanjaro
5. Tanga
6. Pwani
7. Iringa
8. Dodoma
9. Shinyanga
10. Singida
11. Tabora
12. Mwanza
13. Lindi
14. Mtwara
15. Zanzibar (unguja)
16. Mara (Serengeti)
 

Kama umefika Iringa na Mbeya, most likely umepita Njombe lakini hukuwa unafahamu kwa kuwa barabara ya Tazam kuanzia kijiji kinaitwa Nyigo karibu na Makambako hadi maeneo ya karibu kidogo na Igawa, hilo eneo hapo kati ni mkoa wa Njombe...
 
Kama umefika Iringa na Mbeya, most likely umepita Njombe lakini hukuwa unafahamu kwa kuwa barabara ya Tazam kuanzia kijiji kinaitwa Nyigo karibu na Makambako hadi maeneo ya karibu kidogo na Igawa, hilo eneo hapo kati ni mkoa wa Njombe...

Sawa sawa.
Mkuu nimeongelea mikoa ambayo nimefika/kukanyaga ardhi yake.
 
Naamini waliomo humu kila mtu kafika Dar.
 
Dodoma
Iringa
Njombe
Dareslam
Ruvuma
Mwanza
Simiyu
Kigoma
Singida
Geita
Tabora
Shinyanga
Kagera
Morogoro
Pwani

Natamani nifike Arushq,kilimanjaro na Zanzibar.
 
Mikoa niliyoishi.
Ruvuma,
Dar,
Mwanza,
Kagera,
Arusha,
Morogoro,
Iringa,
Njombe,
Mbeya,
Songwe,
Dodoma,
Pwani,
Unguja,
Lindi,

Mikoa niliyopita kwa gari.
Kilimanjaro,
Singida,
Manyara,
Mtwara,
Tanga,
Tabora,
Shinyanga,

Nimebakiza kuona/kuishi mikoa ya.
Kigoma,
Simiyu,
Mara,
Rukwa,
Katavi,
Pemba,

Katika mikoa yote niliyopita au kuishi, mikoa iliyonivutia ni.
Dar es Salaam,
Mwanza,

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Umenihudhi sana.
 
Nimebakiza kisiwa cha mafia tu,kwingine kote nimefika
 
Dar,morogoro,Dodoma,Tabora,iringa,Songwe,..,mbeya ndiyo home😉
 
arusha
kilimanjaro
tanga
morogoro
dodoma
dar es salaam
pwani
iringa
njombe
 
Nimebakiza mikoa sita tu ambayo sijafika.
Kagera, Mtwara, Lindi(mjini, kwan baadhi ya wilaya zake nimefika), Ruvuma Katavi Na Rukwa.

Panapo maajaliwa 2025 ntaimaliza yote. Maana hobby yangu ni kusafiri
 
Mwanza
Geita
Kigoma
Morogoro
Dodoma
Mara
Dar es salaam
Singida
Tabora
 
Yote ulioyoitaja ukitoa kigoma,Sasa mtu unaenda kigoma kutafuta nn?labda kama unatafuta misaada ya UNICEF

Plus Mwanza nimefika na kuishi
 
Mie sjafika pemba tu ila mikoa yote nimetoboa kupeleka gari za watu au kununua gari i hope next year nikijaliwa uhai nataka nianze kutoka nje sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…