Umebaini tofauti gani Uwanja wa Mkapa na Uwanja wa Samia unaotarajiwa kujengwa Arusha?

Umebaini tofauti gani Uwanja wa Mkapa na Uwanja wa Samia unaotarajiwa kujengwa Arusha?

Tofauti zaidi ya billion 200. Hapo ni kusema uwanja mdogo umeumeza uwanja mkubwa zaidi ya mara nne kwa bajeti ya ujenzi ili hali ni mdogo mara mbili ya ule wa zamani.

Yajayo yanafurahisha.
Dollars za kimarekani zimepanda tofauti na kipndi Benjamin William mkapa stadium unajengwa ila licha ya hivyo upigaji ni mkubwa wapi Lucas

Back
Top Bottom