ILAN RAMON JF-Expert Member Joined Sep 10, 2013 Posts 9,698 Reaction score 4,488 May 28, 2024 #61 Pendaelli said: Ndio liwe ongezeko la bilioni mia mbili kwa nusu kazi ndugu yangu, bora tuendelee kuitwa wajinga lakini sio kuingizwa sipo aisee Click to expand... Hujawahi kua engineer wala hujui contract ina vitu gani
Pendaelli said: Ndio liwe ongezeko la bilioni mia mbili kwa nusu kazi ndugu yangu, bora tuendelee kuitwa wajinga lakini sio kuingizwa sipo aisee Click to expand... Hujawahi kua engineer wala hujui contract ina vitu gani
holoholo JF-Expert Member Joined May 10, 2023 Posts 1,859 Reaction score 2,986 May 28, 2024 #62 Battor said: Tofauti zaidi ya billion 200. Hapo ni kusema uwanja mdogo umeumeza uwanja mkubwa zaidi ya mara nne kwa bajeti ya ujenzi ili hali ni mdogo mara mbili ya ule wa zamani. Yajayo yanafurahisha. Click to expand... Dollars za kimarekani zimepanda tofauti na kipndi Benjamin William mkapa stadium unajengwa ila licha ya hivyo upigaji ni mkubwa wapi Lucas Click to expand...
Battor said: Tofauti zaidi ya billion 200. Hapo ni kusema uwanja mdogo umeumeza uwanja mkubwa zaidi ya mara nne kwa bajeti ya ujenzi ili hali ni mdogo mara mbili ya ule wa zamani. Yajayo yanafurahisha. Click to expand... Dollars za kimarekani zimepanda tofauti na kipndi Benjamin William mkapa stadium unajengwa ila licha ya hivyo upigaji ni mkubwa wapi Lucas Click to expand...
Mawembasa1979 JF-Expert Member Joined Feb 26, 2015 Posts 2,540 Reaction score 3,333 May 28, 2024 #63 digba sowey said: Wapi huko mkuu kwa 17000? Click to expand... Dodoma ni sh 19,000 mfuko mmoja wa saruji.
digba sowey said: Wapi huko mkuu kwa 17000? Click to expand... Dodoma ni sh 19,000 mfuko mmoja wa saruji.