Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
Usiamini nyota ama bahati babuKusikia kwa kenge ni mpaka damu zimtoke masikion. Kila mtu ana bahati na nyota yake, kila la heri.
Sasa betting yenyewe ni kubahatisha naachaje kuamini kuna bahati mkuu ndugu yangu?Usiamini nyota ama bahati babu
Sasa km anapiga laki saba kwa siku kwanini bado anafanya kazi hujiongezi..Wakuu binafsi nilianza kubet 2012 nikaja kuacha 2016
Pia niliijua forex 2017 nikafanya nakushindwa nikaacha nikarudi kisha nikaacha 2019.
Sasa Nataka nirudi tena kwnye forex nimegundua tatizo forex si kama betting forex kama unajua unajua na kama hujui hujui.
KWANINI NILIACHA
Kulingana na ugumu wa kuipatia kufanya analysis nilikuja kuamini labda ni matapeli
au kuna namna wana manipulate soko au pips kukufanya uloose
NANI AMENI MOTIVATE
kuna staff mwenzangu hapa anapiga hadi laki 7 forex hihii hiii mwanzo nilikua nasikia watu wanapiga hela ila sikua na real life example.
WANASEMA KUONA NI KUAMINI NAMI NIMEONA
Sidhani kama tafsiri ya neno bahati ipo sahihi ni sawa na uwe na box ambalo ndani yako Kuna soda na hamna soda pia! Ila kuikuta au kutoikuta inategemea na muda utakaolifungua hilo box!..Sasa betting yenyewe ni kubahatisha naachaje kuamini kuna bahati mkuu ndugu yangu?
Mkuu umetoa mfano ambao hauendani na tunachojadili, kubashiri ni nini?Sidhani kama tafsiri ya neno bahati ipo sahihi ni sawa na uwe na box ambalo ndani yako Kuna soda na hamna soda pia! Ila kuikuta au kutoikuta inategemea na muda utakaolifungua hilo box!..
Ukifunua ukaikuta ni umekuta matokeo ya kuikuta na usipoikuta ni umekuta matokeo ya kutoikuta!
ana youtube channel huyu anasema alichoma 600M🤣Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!
Salute bosses Utangulizi Wengi mmesikia sikia sana kuhusu Forex trading, mmepata kujua taarifa kadhaa kuhusu hii biashara lakini mmeshindwa kufahamu nini kinaendelea. This is the perfect thread, tutaelewa kila kitu hapa na hakuna atakayebaki na swali kichwani - we have to leave this thing...www.jamiiforums.com
Shida ni kwamba hujaelewa unarudi palepale babu..😅Mkuu umetoa mfano ambao hauendani na tunachojadili, kubashiri ni nini?
daah kitambo sana Jangid Plaza paleana youtube channel huyu anasema alichoma 600M🤣
naelewa sana ila wewe ndio huelewi.Shida ni kwamba hujaelewa unarudi palepale babu..😅
Tatizo nimetumia sayansi kukuelezea na kama sayansi inakupiga chenga tutakesha hapa.. nishaona hapa itakuwa kivumbi mpaka unakuja kunielewa ibaki niseme inatosha..😅naelewa sana ila wewe ndio huelewi.