Umebutua shilingi ngapi Betting/Forex?

Umebutua shilingi ngapi Betting/Forex?

Mr Chromium

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2020
Posts
2,761
Reaction score
3,835
Wakuu binafsi nilianza kubet 2012 nikaja kuacha 2016.

Pia niliijua forex 2017 nikafanya nakushindwa nikaacha nikarudi kisha nikaacha 2019.

Sasa Nataka nirudi tena kwnye forex nimegundua tatizo forex si kama betting forex kama unajua unajua na kama hujui hujui.

KWANINI NILIACHA
Kulingana na ugumu wa kuipatia kufanya analysis nilikuja kuamini labda ni matapeli au kuna namna wana manipulate soko au pips kukufanya uloose.

NANI AMENI MOTIVATE
kuna staff mwenzangu hapa anapiga hadi laki 7 forex hihii hiii mwanzo nilikua nasikia watu wanapiga hela ila sikua na real life example.

WANASEMA KUONA NI KUAMINI NAMI NIMEONA

PG NO: 1/7
 
Forex haitaki hisia bali akili na mahesabu makali,mkuu cheating kwenye forex ipo hayo ma bank makubwa Kuna namna yanaliendesha soko ili faida zielekee kwao.. sema ni vile hawafanyi wewe kushituka!.
This world it's the world of cheating!.
 
Wakuu binafsi nilianza kubet 2012 nikaja kuacha 2016

Pia niliijua forex 2017 nikafanya nakushindwa nikaacha nikarudi kisha nikaacha 2019.

Sasa Nataka nirudi tena kwnye forex nimegundua tatizo forex si kama betting forex kama unajua unajua na kama hujui hujui.

KWANINI NILIACHA
Kulingana na ugumu wa kuipatia kufanya analysis nilikuja kuamini labda ni matapeli
au kuna namna wana manipulate soko au pips kukufanya uloose

NANI AMENI MOTIVATE
kuna staff mwenzangu hapa anapiga hadi laki 7 forex hihii hiii mwanzo nilikua nasikia watu wanapiga hela ila sikua na real life example.

WANASEMA KUONA NI KUAMINI NAMI NIMEONA
Sasa km anapiga laki saba kwa siku kwanini bado anafanya kazi hujiongezi..

Inshort anakupa screen za faida tu ila mwambie akupe na screen za loss angalau 1 month then fanya maamuzi yk sasa..
 
Sasa betting yenyewe ni kubahatisha naachaje kuamini kuna bahati mkuu ndugu yangu?
Sidhani kama tafsiri ya neno bahati ipo sahihi ni sawa na uwe na box ambalo ndani yako Kuna soda na hamna soda pia! Ila kuikuta au kutoikuta inategemea na muda utakaolifungua hilo box!..
Ukifunua ukaikuta ni umekuta matokeo ya kuikuta na usipoikuta ni umekuta matokeo ya kutoikuta!
 
Mkuu umetoa mfano ambao hauendani na tunachojadili, kubashiri ni nini?
 
Back
Top Bottom