Rais ameongea matope, presidential rubbishGazeti la Mwananchi limechapisha katuni hii iliyochorwa na mchoraji wake King Kinya ikimuonyesha Mtu anayefanana na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Tundu Lissu akiwa na taswira kama ya kulalama huku ameshika kitu kama matope au kinyesi hivi na mengine yakiwa usoni mwake.
Vipi wewe umeelewaje katuni hii?
View attachment 2695098
Mtu akikutapikia matope unakuwaje msafi?Sasa mbona kachafuka yeye?
Yes presidential ,but rubbishInaujumbe mkubwa sana
Anatuonyesha watanzania matope ila mbona yamemchafua na yeye?
Jamaa anafukua topeGazeti la Mwananchi limechapisha katuni hii iliyochorwa na mchoraji wake King Kinya ikimuonyesha Mtu anayefanana na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Tundu Lissu akiwa na taswira kama ya kulalama huku ameshika kitu kama matope au kinyesi hivi na mengine yakiwa usoni mwake.
Vipi wewe umeelewaje katuni hii?
View attachment 2695098
Wewe nawe ni matope[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Kuna Wasanii na Kuna wachoraji
Huyu wa King Kimya, Ni mchoraji, sio msanii, Katuni zake zote Huwa ni Laini laini ,nyepesiii ,hazina ujumbe wa maana , ni Katuni ambazo hata mtoto wa darasa la Tatu B anaweza chora .
Huo usio na maana ni upi ndugu Carlos The Jackal?Kuna Wasanii na Kuna wachoraji
Huyu wa King Kimya, Ni mchoraji, sio msanii, Katuni zake zote Huwa ni Laini laini ,nyepesiii ,hazina ujumbe wa maana , ni Katuni ambazo hata mtoto wa darasa la Tatu B anaweza chora .