miviga
JF-Expert Member
- Jan 27, 2024
- 2,393
- 8,594
Bwana weeh 😹😹😹😂😂😂😂 hachelewi kusema una muonea wivu.
Wadau wanauliza traco unalo? 😹😹Sura ya baba mdogo, heeee. Nakuonea huruma sana.
Nimeanza kukumezea mate japo mrembo👌👌👌👌👌👌
Atatuwekea picha anatembea huku anatikisa tupera(vikalio)twake.Uzi bila picha kwelii