Wapi huko jamani na mie nije nizalisheHuku kwetu,yaani mtoto anamiliki watoto wengi kumzidi wazazi wake na anaishi kwao,
Lkn niseme tu waacheni wazae.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi huko jamani na mie nije nizalisheHuku kwetu,yaani mtoto anamiliki watoto wengi kumzidi wazazi wake na anaishi kwao,
Lkn niseme tu waacheni wazae.
Wee jichanganye tuu ushike mimba ya mzabzab uone utakavyo teseka mwenyewe.Mbona tusiozaa tunaitwa Tasa huku mtaani[emoji16]tunaambiwa tuzae tu tulee wenyewe maana mtoto ndiyo ndugu,
Sasa tushike lipi??
[emoji1787][emoji1787][emoji2088][emoji1787][emoji1787]Wee jichanganye tuu ushike mimba ya mzabzab uone utakavyo teseka mwenyewe.
Pulizana mrembo subiria ndoa ndio uzae. Usipo bahatika kupata ndioa basi kama vile sio kila mwenye mbio ushinda mashindano basi pia sio kila mwenye mbususu atazaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nikupe connectionWapi huko jamani na mie nije nizalishe
NAKAZIAUkipata Mwanaume anayekupenda akagundua tu una Mtoto basi naye atajitahidi kukufariji ili akubandue lakini hata kuoa.
Unajua kuwa hajawaongelea hao unakuja kupindisha mada. Aliowaongelea unawafahamu vema. Hawajawahi kuolewa wala kuchumbiwa, walikuwa wanadate hovyo then wakajishikisha ujauzito na kupata watoto bila commitment ya mwanaume.Vipi kuhusu wale waliolewa na wamepata watoto ndani ya ndoa but ndoa ikaja kuvunjika hawa tunawaweka kundi lipi?
Nipe ila hakikosha tuu warembo wakipata mimba hawanigandi kama luba 🤣🤣🤣🤣Nikupe connection
Hakuna mwanamke asiyetamani kuolewa hata awe ni bilioneaUmasikini upigwe vita sana.
Dada zetu wangekuwa na uwezo wasingesimangwa hivi kila siku.
Sio lazima uolewe..
Unaweza ukaacha kujihusisha na mahusiano ya kupenda kupewa pewa vitu kwa malipo ya utupu then ukajiweka karibu na MUNGU na kuanzisha mahusiano yanayoelekea kwenye uchumba na hatimae ndoa.Yaani tunasimangwa kila kukicha ndio maana wadada siku hizi wanatoa sana ujauzito kwa kuogopa maneno kama haya
Sio poa lakini kuwafanya hivyo single mazas jamani....tuwe na huruma towards them. Mie nashauri tuu waolewe kama mke wa pili.NAKAZIA
Na single maza wakidanganywa wataolewa ndio anakupea yote kuna mmoja tulisoma naye high school yaani watu wanakanyaga kinyama kwa ahadi za ndoa
Mpaka namuonea huruma anawaganda sana wanaume mwisho wa siku wanaishia kuichakata wanasepa na ahadi yao ya ndoa
Wee hawa wakiwa na uwezo wanatuangamiza walivyo na roho mbaya wakipata uwezo hawa wanaweza watake kubaki wenyewe duniani.Umasikini upigwe vita sana.
Dada zetu wangekuwa na uwezo wasingesimangwa hivi kila siku.
Sio lazima uolewe..
Dnt transfer the blame, jichunguzeni nyie wenyewe kwanzaYaani tunasimangwa kila kukicha ndio maana wadada siku hizi wanatoa sana ujauzito kwa kuogopa maneno kama haya
Wana visirani sana wataharibu ndoa za watu, singo mazas ni kuwafanya michepuko tuSio poa lakini kuwafanya hivyo single mazas jamani....tuwe na huruma towards them. Mie nashauri tuu waolewe kama mke wa pili.
Wee mwanamke miaka 27 hujaolewa kwa nini? Wengi mnaendekeza uzinzi ndio maana 27 inakukuta bado watapa tapaImekuwa ni jambo la kawaida sana kwasasa,
Usipokuwa na mtoto hadi 27yrs wanakuona tasa[emoji23],wakati hata haujaolewa.
Hapana bqana micheps mbona ipo mingi single maza ni kuolewa second wife...wanajali sana watampa mume tulizo zuri pale first wife akiwa amepandisha mashetaniWana visirani sana wataharibu ndoa za watu, singo mazas ni kuwafanya michepuko tu
Shida hamuangalii nani anawashauri mnasikiliza kila kitu. Wewe unakutana na lishangingi listaafu linakwambia zaa tu kwanza Ndoa majaliwa halijawahi olewa wala halina hata maadili wewe unasikiliza na kufuata ushauri wake.Mbona tusiozaa tunaitwa Tasa huku mtaani[emoji16]tunaambiwa tuzae tu tulee wenyewe maana mtoto ndiyo ndugu,
Sasa tushike lipi??
Mzeiya mzabzab single maza ni malaya wa kutupa, yaani wanatapatapa sana kila bwana anampea tu anahisi labda huenda atamuoa. Wanapigwa sana miti, ogopa. Speaking from experienceHapana bqana micheps mbona ipo mingi single maza ni kuolewa second wife...wanajali sana watampa mume tulizo zuri pale first wife akiwa amepandisha mashetani
Tatizo wanapenda sana swaga hawa viumbe huwa hawapogi serious na kitu kinaitwa maisha hadi waharibu kwa kutiwa mimba na kuleta watoto babaless ndio wanaanza kuleta mazoea na akili za maisha ufala tu aisee.Aisee bora tu uitoe.
Vijana wenyewe mnaozaa nao hawajielewi akisikia tu una mimba na simu ana kublock.
Sasa wewe jifanye mjanja eti utalea kisa una kazi
Kumbeee aisee! Job true trueMzeiya mzabzab single maza ni malaya wa kutupa, yaani wanatapatapa sana kila bwana anampea tu anahisi labda huenda atamuoa. Wanapigwa sana miti, ogopa. Speaking from experience