Umejichanganya ukazaa kabla ya Kuolewa ukajifanya Mjanja basi imekula kwako maisha yako yote

Umejichanganya ukazaa kabla ya Kuolewa ukajifanya Mjanja basi imekula kwako maisha yako yote

Mbona tusiozaa tunaitwa Tasa huku mtaani[emoji16]tunaambiwa tuzae tu tulee wenyewe maana mtoto ndiyo ndugu,

Sasa tushike lipi??
Wee jichanganye tuu ushike mimba ya mzabzab uone utakavyo teseka mwenyewe.
Pulizana mrembo subiria ndoa ndio uzae. Usipo bahatika kupata ndioa basi kama vile sio kila mwenye mbio ushinda mashindano basi pia sio kila mwenye mbususu atazaa 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wee jichanganye tuu ushike mimba ya mzabzab uone utakavyo teseka mwenyewe.
Pulizana mrembo subiria ndoa ndio uzae. Usipo bahatika kupata ndioa basi kama vile sio kila mwenye mbio ushinda mashindano basi pia sio kila mwenye mbususu atazaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji2088][emoji1787][emoji1787]
 
Ukipata Mwanaume anayekupenda akagundua tu una Mtoto basi naye atajitahidi kukufariji ili akubandue lakini hata kuoa.
NAKAZIA

Na single maza wakidanganywa wataolewa ndio anakupea yote kuna mmoja tulisoma naye high school yaani watu wanakanyaga kinyama kwa ahadi za ndoa

Mpaka namuonea huruma anawaganda sana wanaume mwisho wa siku wanaishia kuichakata wanasepa na ahadi yao ya ndoa

Imagine singo maza na ni 30+
 
Vipi kuhusu wale waliolewa na wamepata watoto ndani ya ndoa but ndoa ikaja kuvunjika hawa tunawaweka kundi lipi?
Unajua kuwa hajawaongelea hao unakuja kupindisha mada. Aliowaongelea unawafahamu vema. Hawajawahi kuolewa wala kuchumbiwa, walikuwa wanadate hovyo then wakajishikisha ujauzito na kupata watoto bila commitment ya mwanaume.
 
Yaani tunasimangwa kila kukicha ndio maana wadada siku hizi wanatoa sana ujauzito kwa kuogopa maneno kama haya
Unaweza ukaacha kujihusisha na mahusiano ya kupenda kupewa pewa vitu kwa malipo ya utupu then ukajiweka karibu na MUNGU na kuanzisha mahusiano yanayoelekea kwenye uchumba na hatimae ndoa.
 
NAKAZIA

Na single maza wakidanganywa wataolewa ndio anakupea yote kuna mmoja tulisoma naye high school yaani watu wanakanyaga kinyama kwa ahadi za ndoa

Mpaka namuonea huruma anawaganda sana wanaume mwisho wa siku wanaishia kuichakata wanasepa na ahadi yao ya ndoa
Sio poa lakini kuwafanya hivyo single mazas jamani....tuwe na huruma towards them. Mie nashauri tuu waolewe kama mke wa pili.
 
Mbona tusiozaa tunaitwa Tasa huku mtaani[emoji16]tunaambiwa tuzae tu tulee wenyewe maana mtoto ndiyo ndugu,

Sasa tushike lipi??
Shida hamuangalii nani anawashauri mnasikiliza kila kitu. Wewe unakutana na lishangingi listaafu linakwambia zaa tu kwanza Ndoa majaliwa halijawahi olewa wala halina hata maadili wewe unasikiliza na kufuata ushauri wake.

Yakisha kukuta unakuja kusema tushike lipi, wewe ulishakutana wapi na wanaume wakakushauri uzae na wanaume hovyo na haupo Ndoani?

Wanaume ndio tupo mstari wa mbele kukemea masingle mother wakati wanawake mpo mstari wa mbele kushawishiana kuwa masingle mother.

Kwenye hili kubalini kulaumiwa na kushushwa thamani sababu ni mnaamua kwa kutaka wala sio kwa kulazimishwa.
 
Hapana bqana micheps mbona ipo mingi single maza ni kuolewa second wife...wanajali sana watampa mume tulizo zuri pale first wife akiwa amepandisha mashetani
Mzeiya mzabzab single maza ni malaya wa kutupa, yaani wanatapatapa sana kila bwana anampea tu anahisi labda huenda atamuoa. Wanapigwa sana miti, ogopa. Speaking from experience
 
Aisee bora tu uitoe.

Vijana wenyewe mnaozaa nao hawajielewi akisikia tu una mimba na simu ana kublock.

Sasa wewe jifanye mjanja eti utalea kisa una kazi
Tatizo wanapenda sana swaga hawa viumbe huwa hawapogi serious na kitu kinaitwa maisha hadi waharibu kwa kutiwa mimba na kuleta watoto babaless ndio wanaanza kuleta mazoea na akili za maisha ufala tu aisee.
 
Back
Top Bottom