Umejifunza kitu Gani kuhusu majibu ya huyu Cannibalist ( MTU anaekula nyama ZA watu)

Umejifunza kitu Gani kuhusu majibu ya huyu Cannibalist ( MTU anaekula nyama ZA watu)

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Feminist mmoja kutoka nchini Marekani ali safiri hadi visiwa vya Papua New Guinea kufanya mahojiano Na mwanaume mmoja ambae anatoka katika Kabila la binadamu wanao Kula nyama ZA watu ( Cannibalists) ambao pia wana wanatawaliwa Na mfumo dume

Baada ya maswali mengi, Feminist huyo alimuuliza Cannibalist huyo swali hili.

Feminist : From your perspective, is there any difference between a male person and a female person.


Cannibalist: Not at all at all at all. There is no any difference between a man and a woman.


Feminist: Then Why do u think there is no any difference between a man and a woman.


Cannibalist: Because they all taste the same.


FEMINIST AKAZIMIA KWA MSHITUKO...


Anyways pamoja Na kwamba habari hii Ina ogofya but Kuna kitu unaweza kujifunza.

Je unadhani Kwa perspective ya Cannibalist huyu, mwanamke Na mwanaume wanaweza kuwa Sawa?

main-qimg-2277ab2fb81fb443ea64a7f5881e68f8.jpeg
 
Kula nyama ya binadamu mwenzako
Hata baadhi ya wanyama of the same species hawana huo ujinga
Kwenye animal kingdom zipo specie za Wanyama wengi tu ambao wanakula specie zao wenyewe. Tena wengine wanafanya sexual cannibalism anamgonga Kwanza akisha kufa ndio anamla..
 
Dunia yote kuna wazungu, wachina, wahindi, Waarabu, persians n.k
Ushajiuliza kwanini timu ya taifa ya Tanzania haina mchezaji Mzungu, Mwarabu, mhindi au mchina?
Nimeuliza kuhusu asili lkn unakuja na ujuaji mwingi kumbe ni kubwa ji****a
Ni ujinga kuamini watu weusi wote wanatoka Africa. Dunia yote kuna watu weusi.
 
Swali lilikuwa linalenga nini
Mfano unaweza kumuuliza mtu viazi na mihogo ina tofauti gani
Akakwambia havina tofauti akiwa na maana ya virutubisho vilivyomo ndani yake
Kumbe wewe ulitaka kujua kuhusu ladha ya mihogo na viazi ndiyo kilichotokea hapo
 
Back
Top Bottom