inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Wamanyema mpaka 1960s hapa walikua wanakula watu,Congo sidhani Kama wameacha,Latin America wanakula watuNchi gani hizo?
Ninavyoelewa, viungo vya binadamu huvunwa kimagendo na kuuzwa kwa ajili ya tiba na siyo kwa ajili ya msosi.
Mwingereza wa mwanzo alitokea afrikaWazungu wa aafrica kwa RANGI?
Haujielewi wewe.
Umesoma shule gani kiongozi.
Black people original Yake NI Africa tu .huko unapowaona wamepelekwa kwa utumwa.
Kama Haiti na Jamaica NI viziwa ambavyo vimepata bahati kuingia America lakini asili yao ni AFRICA.
Hakuna mzungu mwafrika.
Australia ni nchi ya watu weusi,wale wazungu ni waingereza,pamoja na new Zealand,Kama kawaida yao uovu,walikua wenyeji wakajimilikisha nchi,Kama marekaniUkiona muafrica ulaya Asia, Australia,marekani zote ujue kapelekwa.
Kumbuka kulikuwa na majahazi.uenda walikuwa wameenda kutafuta maisha.Australia ni nchi ya watu weusi,wale wazungu ni waingereza,pamoja na new Zealand,Kama kawaida yao uovu,walikua wenyeji wakajimilikisha nchi,Kama marekani
Na huyo mwingereza alikuwa MWEUSIMwingereza wa mwanzo alitokea afrika
Ni ujinga kuamini watu weusi wote wanatoka Africa. Dunia yote kuna watu weusi.
Ujinga sana, watu wanafikiri rangi ya ngozi ndio uafrika.
Sijui shida ni nini??
Wazungu wa aafrica kwa RANGI?
Haujielewi wewe.
Umesoma shule gani kiongozi.
Black people original Yake NI Africa tu .huko unapowaona wamepelekwa kwa utumwa.
Kama Haiti na Jamaica NI viziwa ambavyo vimepata bahati kuingia America lakini asili yao ni AFRICA.
Hakuna mzungu mwafrika.
The best African player.Ni muhamedi salah kutoka Africa ambae ana rangi nyeupe kuliko ngole kante ambae ni european.Ujinga kweli wakiambiwa Pogba sio MuAfrica wakati Mahrez ni Mu Afrika wanabisha
MarehemuHiyo nyama ya mtu wanaipataje?
AnaMtamani mpaka anayemhojiSura ya huyo "muhuni" mla nyama inaonesha ana uchu wa nyama ile mbaya.
Kwani haiwezi kuwa kinyume chake kuwa sisi ndio tulikuja kwa majahazi nao asili yao pale pale.Kumbuka kulikuwa na majahazi.uenda walikuwa wameenda kutafuta maisha.
Ila asili yao ni AFRICA.
Ukimkuta kobe juu ya mti ujue kapandishwa
Wewe ndie huelewi chief,soma history usibishane bila kuelewaWazungu wa aafrica kwa RANGI?
Haujielewi wewe.
Umesoma shule gani kiongozi.
Black people original Yake NI Africa tu .huko unapowaona wamepelekwa kwa utumwa.
Kama Haiti na Jamaica NI viziwa ambavyo vimepata bahati kuingia America lakini asili yao ni AFRICA.
Hakuna mzungu mwafrika.
Halafu wana specie za watu weusi ambao ni Giants sana kule New Papua Guinea
Mwafrika ndiyo mtu original,wengine wanatokana na unyumbulifu(evolution) wa huyu originalKumbuka kulikuwa na majahazi.uenda walikuwa wameenda kutafuta maisha.
Ila asili yao ni AFRICA.
Ukimkuta kobe juu ya mti ujue kapandishwa
Nadhani unajua kabla ya kumeguka hii dunia ILIKUA TUFE MOJA.Unaweza kuwa upo Sahihi ila kuhusu hawa wa New papua Guinea ilikuwaje? Kuna biashara yoyote ya Utumwa kati ya Africa na kule? Na Je rangi yao na Nywele zao zinazungumziwaje maana wanafanana ngozi tuu na sisi Africans.... nielimishe
Tembea dunia nzima hauwezi kumkuta mzungu mwafrika.Kwani haiwezi kuwa kinyume chake kuwa sisi ndio tulikuja kwa majahazi nao asili yao pale pale.
Vipimo vya DNA havikubaliani kati yao na sisi, tupo tofauti kabisa.
Mnapenda kulazimisha mambo sana.
Ukisema Aboliginal asili yao mu Africa hata wazungu ,wachina nk asili yao Africa.