Umejifunza nini katika picha hii ambayo Dkt Tulia amepakatwa na Mama Yake Mzazi?

Sisi wenye jicho la kiroho hiyo ni tambiko na ibaada za kishetani
Hamna njema hapo
 
Mbona unarukiarukia watu kama ngedere anavyohama matawi hatulii kwenye tawi moja,mara umemrukia samia,mara makonda,mara Tulia Epson firigisi wewe
Naona unahangaika sana na mimi mpaka unapata presha.kaa kwa kutulia usije ukapata maradhi ya moyo ya kudumu .
 
Naona unahangaika sana na mimi mpaka unapata presha.kaa kwa kutulia usije ukapata maradhi ya moyo ya kudumu .
Aisee samahani sikusoma vizuri kichwa cha thread kumbe kiliuliza tumejifunza nini katika hiyo picha,tulichojifunza wewe ni "kijakazi" mwandamizi unaepata ujira wako kwa kupiga zumali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…