Umejifunza nini katika picha hii ambayo Dkt Tulia amepakatwa na Mama Yake Mzazi?

Kaa kwa kutulia na kujikita katika hoja.
Saa Kuna hoja Gani Kwa wenye akili mtambuka.
Tumieni elimu yenu vizuri Kwa manufaa ya Taifa.
Na sio hivyo ulivyo mkuu.
Mda mwingine Kuna mambo sio ya kushare.

Mnakwama wapi.unataka tujifunze nn kwenye hiyo picha๐Ÿค”.
We ungetiririka vile uonavyo.
 
Ulichokihitaji nifanye mimi nimekieleza kwa undani ndani ya andiko langu.
 
Mjifunze uandishi na mawasiliano ya kimkakati! Hata kama ni propaganda jifunzeni toka kwa Wachina basi au hata Rwanda tu hapo.

Makala ambazo ungeweza kuandika hapa:
  • Toka familia umasikini mpaka kuongoza bunge
  • Safari ya Tulia kupelekea IPU
  • Mila na tamaduni za Kinyakyusa katika karne ya ishirini na moja
  • Fungamanisha Tulia na uongozi wa wanawake Tanzania
  • Elezea hatua kwa hatua safari ya Tulia kurudi kwao (mwandishi itabidi aambatane na Tulia toka Dodoma hadi kwao)

Moja kati ya makala haya yangepata mwitikio mzuri zaidi kuliko hili andiko. Makala za namna hizi zimeshapitwa na wakati, ulimwengu huu watu wanataka kufahamu viongozi wao wewe umekazana tu na sifa. Mwaka ni 2024 sio 1947.

Propaganda sio kazi nyepesi.

Mjifunze!
 
Pole sana ndugu yangu naona upo nyuma ya wakati sana maana hayo unayoyaeleza yalishafanyika muda mrefu sana. Ambapo Taifa zima linafahamu kwa undani dkt Tulia ni nani na ametoka wapi na njia ipi amepita kufika hapo alipo leo hii kuwa Rais wa IPU. Kwa hiyo usikosoe kwa kukurupuka kabla ya kuuliza .
 
Kwa mfano angekuwa kibonge ingekuwaje?

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
 
Ng'wana adakลซlaga halฤซnina! โค๏ธ
 
Nimejifunza kuwa tulia ni Mwanamke mwenye sura.......... Japo ana pesa
 
Kama yalishafanyika hili andiko lina haja gani gani? Tunarudi kulekule umuhimu wa mawasiliano na mahusiano na umma ya kimakakati.

Mother's Day ni May 12 jumapili hii, andiko hili kama lingekuwa kupelekea siku ya kina mama duniani lingekuwa na tija na maana sana. Tulia na mama yake wanapata kufahamika katika muktadha chanya siku ambayo ni maalumu. Hiki kilichoandika kimefanikisha nini?

Rhetorical questions, unauhakika shughuli zote za kimawasiliano kumruhusu Tulia zilikuwa na ufanisi? IWD na 16 Days za Activism zimepita was Tulia part of the discussion? Did she set the agenda?

Jifunze propaganda!
 
Kiafrica Mtoto hakui hata siku moja Kwa mzazi wake hata awe raisi wa Dunia

Kwa mzazi yeye mtoto tu ataitwa mheshimiwa kote dunia nzima lakini Kwa mzazi yeye mtoto tu ndicho Mama Tulia kafanya na Tulia Yuko Kwa mama yake kama mtoto sio kama spika anadeka Kwa mama yake
 
Andika wewe kile unachokiona kinafaa na wala usitake watu wote wafanye kile unachokitaka na kukiwaza wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ