Umejifunza nini katika picha hii ambayo Dkt Tulia amepakatwa na Mama Yake Mzazi?

Baba yako angepiga nyeto tu siku hiyo kuliko kuzaa uchafu kama wewe

Wewe ni laana......
 
Andika wewe kile unachokiona kinafaa na wala usitake watu wote wafanye kile unachokitaka na kukiwaza wewe.
Hatukimbii mijadala JF kwa kusema fanya wewe au andika wewe. Tunabishana kwa hoja, leta jibu kinzani lenye maana bwana Mwashambwa.

Hujajibu swali, andiko lako limefanikisha nini hasa? Ulikuwa unalenga kupata nini hasa? Je, majibu haya ya wachangiaji ambayo kwa kiasi kikubwa ni hasi ndiyo ulikuwa umepania kuyapata juu ya mhusika mkuu wa andiko lako Spika Tulia?

Njoo tuzungumze, sio vita.
 
Huyu mama anastahili heshima ya pekee, hana makuu, ni msomi asiyetamba, yupo karibu na watu. Angalia hata nywele zake hazina gharama. Big up Tulia.
 
Wanawaiga wachaga, mtoto akiwa tajiri baba humuamkia shikamoo mwanae!
Kwa hili gagula amekulipa shilingi ngapi?
 
Nimejifunza kuwa na wewe ukapakatwe na mumeo
 
Hoja yako nimeshajibu nashangaa wewe bado huelewi.sasa unataka nini tena.maana nimekwambia kuwa hayo unayoyasema na kuyapendekeza tayari yalishafanyika kitambo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…