Kama tungeishi kwa kulitambua hili na kila mtu KWA NAFASI YAKE akajitahidi kuishi kwa kusaidiana bila KUWAUMIZA WENGINE, Dunia ingekuwa mahali pazuri sana pakuishi.
Huwa nawakumbusha watu kuwa; HATA ZILE AMRI KUMI ZA MUNGU; UKISOMA KWA MAKINI UTAGUNDUA KUWA, 7, NI KATI YA BINADAMU NA BINADAM, NA 3TU NDIO ZINAMUHUSU MUNGU MWENYEWE.
HIVYO HATA UKIKESHA KANISANI UKISALI UJUE, KAMA HIZI AMRI 7 ZA BINADAMU NA BINADAMU HUJAZIWEKA VIZURI, MOTO WA MILELE UNAKUHUSU. Ukimuumiza mtu kwa namna yoyote ile, malizana naye kwanza, kabla ya kwenda kukesha kanisani/msikitini!