ujoka
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 5,277
- 12,506
Imagine kuna wengine wanakufa kwenye ajari ya bajaji ,ajari ya helcopter imekaa kibabe yan kama kobe Bryant na bint yake tuVifo vingine ni balaa tupu, kifo bora ni ufe ukiwa umelala usingizi kitandani halafu umeshiba umri mpaka dunia haikutaki na we huitaki, ufe ukiwa mzee wa siku nyingi mpaka husikii wala huoni, huna meno wala husikii utamu wa ladha ya chakula unaona bora ufe tu