Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Sema mahelaKumbe bigie alikua na pesa
Sema mahelaKumbe bigie alikua na pesa
Nakubaliana na aliyesema kwenye uhalifu huwezi kufuta alama zote zitakazozaa ushahidi usiotia shaka. Inaweza chukua muda ila itajulikana tuHizi ajali za mchongo hizi🙌🏿🙌🏿🏃🏿
Hayo sasa ni mateso!Vifo vingine ni balaa tupu, kifo bora ni ufe ukiwa umelala usingizi kitandani halafu umeshiba umri mpaka dunia haikutaki na we huitaki, ufe ukiwa mzee wa siku nyingi mpaka husikii wala huoni, huna meno wala husikii utamu wa ladha ya chakula unaona bora ufe tu
Umenifurahisha😹😹😹Sa unacheka nini Malleh😃
Huwajui Watanzania kwa kutengeneza habari? Muulize Mhaya alipozitoa.Labda ilitegewa bomb
Kwanini helicopter nyingine ilikuwa nao
Ili kuhakikisha imelipuka ama?
Sababu za ajali zile zile kama moja iliyotokea miaka ya hivi karibuni kuwa hali ya hewa ilikuwa mbaya na mawingu kutanda
Sijui kama watasema ukweli
Halafu Ina maana watoto hawakuwemo mbona hawatajwi kwenye habari zote
Sisi tumezipata wapi?
Maisha yanaweza kukoma wakati wowote na kwa namna yoyote.Maisha yana njia nyingi za kuku-humble.
Leo utabebwa kwenye LC300 kupelekwa sokoni, Kesho vipande vya mwili wako vitabebwa kwenye mifuko ya plastic
View attachment 3682310
There is no true meaning to this complicated thing called life.
Hahahaha acha basi analyst cc BICHWA KOMWE njoo nikupige kipapai shemeji 😆Tangia Monetary doctor atambue kuwa demu wake wa JF BICHWA KOMWE - ni kidume papai jamaa hana hamu kabisa😁😁
Safi sana. Aache uvivu. Kazi ya kutafuta majibu yeye mwenyewe anataka uifanye wewe. Kataa hio😀Bila kutumia maneno magumu ni jukumu la kila mtu aliye hai kutafuta na kujua nani aliyeumba dunia na vitu na kwanin aliyeweka kifo. Fanye research, soma, sikiliza nafsi sana. Utagundua kuna holy spirit na yupo mkuu na source wa kila kitu kweny hii dunia.
Maisha yana njia nyingi za kuku-humble.
Leo utabebwa kwenye LC300 kupelekwa sokoni, Kesho vipande vya mwili wako vitabebwa kwenye mifuko ya plastic
View attachment 3682310
There is no true meaning to this complicated thing called life.
Ndege iliyoanguka mabaki yake yako wapi?Maisha yana njia nyingi za kuku-humble.
Leo utabebwa kwenye LC300 kupelekwa sokoni, Kesho vipande vya mwili wako vitabebwa kwenye mifuko ya plastic
View attachment 3682310
There is no true meaning to this complicated thing called life.
Alikua anatoshea kwenye hivi vimkebe kweli au kuingia ilibidi wamshindilieSema mahelaView attachment 3682411
Kwa body weight ile angebebwa na zaidi ya watu 8Maisha yana njia nyingi za kuku-humble.
Leo utabebwa kwenye LC300 kupelekwa sokoni, Kesho vipande vya mwili wako vitabebwa kwenye mifuko ya plastic
View attachment 3682310
There is no true meaning to this complicated thing called life.
KUDOS🫡🫡👌👌Kama tungeishi kwa kulitambua hili na kila mtu KWA NAFASI YAKE akajitahidi kuishi kwa kusaidiana bila KUWAUMIZA WENGINE, Dunia ingekuwa mahali pazuri sana pakuishi.
Huwa nawakumbusha watu kuwa; HATA ZILE AMRI KUMI ZA MUNGU; UKISOMA KWA MAKINI UTAGUNDUA KUWA, 7, NI KATI YA BINADAMU NA BINADAM, NA 3TU NDIO ZINAMUHUSU MUNGU MWENYEWE.
HIVYO HATA UKIKESHA KANISANI UKISALI UJUE, KAMA HIZI AMRI 7 ZA BINADAMU NA BINADAMU HUJAZIWEKA VIZURI, MOTO WA MILELE UNAKUHUSU. Ukimuumiza mtu kwa namna yoyote ile, malizana naye kwanza, kabla ya kwenda kukesha kanisani/msikitini!
Mizoga ndani ya sandarusiMaisha yana njia nyingi za kuku-humble.
Leo utabebwa kwenye LC300 kupelekwa sokoni, Kesho vipande vya mwili wako vitabebwa kwenye mifuko ya plastic
View attachment 3682310
There is no true meaning to this complicated thing called life.