Umejifunza nini kwenye hii Picha iliyopigwa baada ya ajali ya Chivayo?

Ajali ya kawaida huungui mpaka ugeuke nyama choma
Yawezekana kweli. 🤔

Me nakumbuka mbunge wa Tunduru kipindi hicho Juma jamadin Akukweti aliondoka kwa ndege ila kidume kiliamkia hospital south 🤭

Na bado alikomferm yuko poa japo mwilli wote ulibababuka.! Sema alivuta

Ila ukilinganisha na huyu Tembo mpaka katosha kwenye Rambo.! 😎

Kuna la kujifunza tuishi na watu vizuri 🙏
 
Hili la kuungua sana au kidogo inategemea na muda toka ajali itokee hadi uokoaji, the sooner the better.
 
Sawa hata nta ya mshumaa inahimili usiku wote

Huyu Tembo katosha kwenye Rambo.!?
 
Ajali ya kawaida huungui mpaka ugeuke nyama choma
Yale mafuta yote ya ndege pamoja na mafuta yake unategemea aungue halafu abaki?
Wale wahindu wanatumia mafuta kidogo Tu MTU anakuwa majivu sasa hayo mafuta yote ulitaka chivayo abaki na minofu?
 
Maisha yana njia nyingi za kuku-humble.

Leo utabebwa kwenye LC300 kupelekwa sokoni, Kesho vipande vya mwili wako vitabebwa kwenye mifuko ya plastic

View attachment 3682310
There is no true meaning to this complicated thing called life.
Tukumbuke Mola d

Duniani tunapita tuache viburi tumkumbuke Mola.Matanuzi yote yale leo yuko wapi.Mungu ni fundi.
 
Kumbe bigie alikua na pesa
Huyu jamaa ni balaa, hata jumba lake limezingirwa na jeshi hakuna kuingia au kutoa chochote maana inadaiwa kuna mabilioni ya dola cash kutoka Tanzania na Kenya.
 
Back
Top Bottom